Friday, September 21, 2018

Ligi

Home Ligi

SASA RASMI FILAMU YA RONALDO KUZINDULIWA NOVEMBA 9 MWAKA HUU.

Baada ya sintofahamu ya muda mrefu juu ya lini filamu ‘movie’ ya Cristiano Ronaldo itatoka hatimaye filamu hiyo kuzinduliwa mwezi huu tarehe 9 na...

MWADUI YABWANWA NYUMBANI, JULIO ASHINDWA KUPATA USHINDI MECHI 3 MFULULIZO

Mwadui FC imebanwa mbavu kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Mwadui Complex baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana na maafande wajelajela Tanzania prison...

VAN GAAL ATOA ‘SPEECH’ ATAKA UMOJA, MOURINHO AKISUBIRI

Ikiwa presha inazidi kuwa juu Manchester United, kocha Louis Van Gaal jana Jumatatu alitoa hutuba fupi iliyokua na hisia nzito hasa kutokana na mwenendo...

JKT RUVU YAIREJESHA YANGA KWENYE RELI

JKT Ruvu imekubali kichapo cha magoli 4-0 kutoka kwa Yanga na kuirejesha timu hiyo kwenye reli baada ya kuwa na wiki ya tabu kufuatia...

ACHANA NA 2016-17, WAINGEREZA WATAITEKA DUNIA 2017-18

Na  Ayoub Hinjo Mzunguko wa maisha yetu ya kila siku ndiyo unafanya tuzidi kuheshimiana kwasababu tupo kwenye madaraja tofauti. Kwahiyo lazima tuishi kwa kutegemeana. Unadhani...

HABARI NJEMA KWA VIJANA: AZAM TV IMEWASOGEZEA FURSA MIKONONI MWENU

Habari njema kwenye tasnia ya filamu Bongo ni uzinduzi wa mradi wa kusaka vipaji vya waigizaji pamoja na ma-camera person, mradi huo unakwenda kwa...

Video: USO KWA USO NA PAUL NONGA NDANI YA STUDIO ZA CHOICE FM

Leo katika kipindi cha Vuruga cha Choice FM kilitembelewa na mgeni kwa ajili ya mahojiano. Mgeni huyo si mwingine bali ni Paul Nonga mchezaji...

Mino Raiola: Romelu Lukaku ata sign Everton lakini mwakani atasepa

Super agent Mino Raiola ambaye amefanikisha dili kubwa la Paul Pogba amezungumzia kuhusu mteja wake Romelu Lukaku kuhusu kusaini mkataba mpya na club ya...

“Msimu ujao tunataka kucheza kimataifa”-Maxime

Kocha mkuu wa Kagera Sugar Mecky Maxime amesema lengo kuu la timu yao msimu huu ni kuchukua ubingwa ili msimu ujao wawe kwenye michuano...

ADHABU YA MADRID YAVITESA VILABU VYA ENGLAND

Baada ya klabu ya soka ya Real Madrid kufungiwa na shirikisho la soka duniani FIFA, isisajili kwa kipindi cha miezi 18 kuanzia majira ya...

STORY KUBWA