Saturday, September 22, 2018

Ligi

Home Ligi

SCHWEINSTEIGER AWATULIZA MASHABIKI KUHUSU VAN GAAL

Kiungo mkongwe wa Manchester United na timu ya taifa ya Ujerumani Bastian Schweinsteiger amewapa moyo na kuwataka mashabiki wa United wawe wavumilivu dhidi ya...

Kumbe Klopp alifanya kitu hiki kibaya Manchester kabla ya kwenda Liverpool.

Licha ya kumsifia sana Sir Alex Fergie ambae ni kocha mwenye mafanikio ndani ya Manchester united, lakini Klopp ametoa siri yake kubwa kwamba hakuwa...

JE ARSENAL ITATWAA UBINGWA WA EPL MSIMU HUU? PETR CECH YEYE IMANI YAKE IPO...

Golikipa Petr Cech wa klabu ya Arsenal ya England amesema msimu huu klabu yao itaenda mbali zaidi hata kutwaa ubingwa wa ligi kuu kutokana...

BEACH SOCCER: Tanzania imepata ushindi mbele ya Uganda

Mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa soka la ufukweni kati ya timu ya taifa ya Tanzania dhidi ya Uganda umemalizika kwa Tanzania kupata ushindi...

Bundesliga imetangaza idadi kubwa ya mashabiki waliohudhuria mechi za ligi.

Bundesliga inabaki kuwa ligi ambayo inapewa support kubwa sana na mashabiki kuliko ligi yoyote ile kwa ujumla. Uwanja wa Allianz Arena mara kadhaa umekua...

Arsenal wabanwa mbavu nyumbani

Mfululizo wa ushindi katika mechi sita za Premier League kwa upande wa Arsenal umeishia leo baada ya kulazimishwa suluhu na Middlesbrough katika Uwanja wa...

Kibarua cha Allardyce England matatani, akumbwa na tuhuma kubwa za rushwa

Meneja wa Timu ya Taifa ya England Sam Allardyce anaweza kupoteza kibarua chake mbele ya FA baada ya kiwezezesha timu timu hiyo kucheza mchezo...

VARDY AENDELEZA MOTO ENGLAND IKILALA NYUMBANI (Video)

Mambo bado yameendelea kumwendea poa Vardy msimu huu, baada ya kuiongoza Leicester kukaa kileleni mwa Premier League, ameifungia England magoli mawili ndani ya siku...

MOURINHO ASIFIA KIWANGO CHA CHELSEA LICHA YA KUBANWA NA SPURS

Licha ya kulazimishwa sare ya bila kufungana na Tottenham, kocha wa Chelsea Jose Mourinho amekimwagia sifa kikosi chake kutokana na kiwango kilichoonesha kwenye mchezo...

LOUIS VAN GAAL AMTAKA HARAKA KIKOSINI NYOTA WAKE WA ZAMANI

Kocha Louis Van Gaal wa Manchester United amemtaka mshambuliaji wake anayekipiga kwa mkopo katika klabu ya Borrusia Dortmund, mbeligiji Adnan Januzaj kurejea haraka kikosini...

STORY KUBWA