Monday, September 24, 2018

Ligi

Home Ligi

GIANLUIGI DONNARUMMA ANAWAKUMBUSHA AC MILAN WAPI WALIPOTOKA.

Mwanadamu husifiwa kwa vitu vingi sana katika maisha yake.Miongoni mwa sifa ambazo mwanadamu huweza kupewa ni kitendo cha kuwa na maamuzi sahihi kwa wakati...

Hili ndio dau walilotoa kampuni ya kichina kuinunua Man United

Kama ulikuwa unahitaji uthibitisho mwingine juu ya ukubwa wa ligi kuu ya England na klabu ya Manchester United katika ulimwengu wa soka basi story...

MKALI WA ARSENAL KANU NWANKWO KUSAMBAZA STARTIMES AFRICA NZIMA

Star wa soka ambae alifanya vizuri sana akiwa na club ya Arsenal kwenye EPL na baadae kwenye club nyingine amekua balozi wa Startimes kwa...

HUYU NDIE MBABE WA AUBAMEYANG NA LEWANDOWSKI KWA KUTUPIA NYAVUNI

Lewandowski na Aubameyang wameshafunga magoli 13 hadi sasa na vichwa vya habari vinatawaliwa na majina yao hasa kuhusu Bundesliga. Sasa ukizungumzia kufumania nyavu bado...

CHICHARITO AMEPATA UTAWALA KWENYE FALME MPYA

Javier 'Chicharito' Hernandez aliondoka Manchester United na kujiunga na Bayer Leverkusen ambapo akiwa United hakua anacheza kila mechi kama sasa. Hii inatokea mara nyingi mchezaji...

KINAWAKA NDANI YA VOLKSWAGEN ARENA

Jumamosi hii moja kati ya mechi zitakazofuatiliwa sana kwenye ligi ya Bundesliga ni kati ya VfL Wolfsburg Vs Bayern 04 Leverkusen. Timu zote hizi...

JUVENTUS HALI BADO TETE ITALIA

Hali ya klabu ya Juventus imezidi kuwa mbaya katika Ligi Kuu ya soka nchini Italia baada ya hapo jana kufungwa na klabu ya Sassuolo...

KIIZA AREJEA KUTOKA MAJERUHI NA KUTUPIA NYAVUNI, SIMBA IKIPATA POINTI 3

Hamisi Kiiza ameifungia Simba goli pekee kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara dhidi ya Coastal Union mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa...

INAKUAJE SASA….SERGIO RAMOS AMEKUWA MLINZI WA SUPERMARKET?

Sergio Ramos mchezaji wa Real Madrid ali-trend kwenye twitter kutokana na picha iliyosambaa ikimuonyesha mtu ambae anafanana kabisa na Ramos akiwa kwenye lindo ndani...

LUIS SUAREZ AMTAJA BEKI ANAYEMPA TABU SANA UWANJANI

Luis Suarez ni mshambuliaji hatari sana na mara nyingi amekua akifunga magoli muhimu kuisadia club yake ya Barcelona. Mshambuliaji yoyote lazima ampite beki ndio...

STORY KUBWA