Friday, September 21, 2018

Ligi

Home Ligi

Je hii itakuwa Madrid Derby ya mwisho wa Torres?

Endapo Fernando Torres atafanikiwa kucheza katika mchezo wa November 18 katika dimba la Metropolitano - itakuwa Derby yake ya 21 ya Madrid kwa mshambuliaji...

Ugaidi wasababisha mechi ya kina Van Persie na Luis Nani kughairishwa.

Imagine mechi upo uwanjani tayari pale uwanja wa taifa kwa ajili ya mechi ya Simba na Yanga harafu unaambiwa mechi imefutwa siku hiyo. Kwenye ligi...

Leicester City: Mambo 7 ya kufahamu kuhusu mabingwa wa EPL

Sare ya 2-2 ya Tottenham vs Chelsea usiku wa jumatatu iliipa ubingwa wa kihistoria Leicester  City. Ubingwa huu umeleta hamu ya kujua mambo mengi...

Mwambusi ametoa 5 kwa Msuva

Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi amesema, amempa tano kiungo mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva lakini akasisitiza kuwa mchezaji huyo wa Taifa Stars ni...

Video: SUAREZ APIGA HAT-TRICK BARCA IKIUA 6

Luis Suarez amepiga hat-trick kwenye mechi ya ufunguzi wa La Liga wakati Barcelona ikiiangamiza Real Betis. Arda Turan alianza kufungua mvua ya magoli kwa kuifungia...

Ribery amwaga wino, James siondoki ng’oo

Mshambuaji wa klabu ya Bayern munch, Frank Ribery, ameongeza mkataba mwaka wa mwaka moja na klabu hiyo utakao mfanya abaki klabuni hapo mpaka mwaka...

HUU NDIO MSIMAMO WA DORTMUND KUHUSU MAHUSIANO YAO NA JURGEN KLOPP

Klabu ya soka ya Borrusia Dortmund imesema kuwa haitaharibu mahusiano yao mazuri na kocha Jurgen Klopp wa Liverpool hata kama kocha huyo atataka kuwasajili...

MOURINHO AWAKEJELI NA KUWAOMBA RADHI MASHABIKI WA CHELSEA

Inaonekana kwamba Jose Mourinho siku zote atabaki kuwa na mahusiano tete na washabiki wa Chelsea. Mourinho anaweza kuwa mmoja wa watu walioipa mafanikio klabu hiyo...

Thamani ya Juve yaongezeka kwa €160m zaidi ndani ya siku 3 – CR7 kuwa...

Juventus wameanza kuonja mafanikio ya kuhusishwa na Cristiano Ronaldo tayari, thamani ya klabu imepanda kwa asilimia 22 ndani ya siku 3 - thamani ya...

TOP 10 YA WAAFRIKA WALIOTAMBA ZAIDI KATIKA LIGI KUU YA ENGLAND

Alexander Song Ameichezea Arsenal kwa sasa ni mchezaji wa Fc Barcelona Taifa- Cameroon John Obi Mikel Anaichezea Chelsea Taifa- Nigeria Emmanuel Adebayor Ameichezea Arsenal, Manchester City, Tottenham Hot...

STORY KUBWA