Monday, September 24, 2018

Ligi

Home Ligi

WANYAMA AIPA PIGO SOUTHAMPTON

Wanyama atakaa nje kwa wiki sita baada ya kufungiwa michezo mitano. Punde tu akimaliza adhabu yake timu itakabiliana na Liverpool mwezi Machi 19. Southampton itakuwa...

Rafael Benitez kufukuzwa kazi na Real Madrid na huyu ndie kocha mpya

Real Madrid inatarajia kumfukuza kazi kocha wao Rafael Benitez baada ya club yao kuwa kwenye misukosuko ya kimatokeo na kiuongozi. Real Madrid kwa sasa...

JURGEN KLOPP : STEVEN GERRARD ANAKARIBISHWA LIVERPOOL LAKINI HATOCHEZA

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari amemzungumzia Steven Gerrard kama anaweza kuja kucheza tena na kikosi cha Liverpool. Manager...

Terry kuwavaa Arsenal wikiendi hii

Beki wa Chelsea John Terry amerejea mazoezini baada ya kupata majeraha yalimweka nje kwa takriban wiki moja na nusu na anatarajiwa kuiongoza timu hiyo...

VIDEO: LEICESTER ILINYIMWA TUTA ILI ISITANGAZE UBINGWA OT?

Kwanini haikuwa penati? Baada ya mchezo kati ya Manchester United vs Leicester City kumalizika story kubwa kwenye mindao ya kijamii ilikuwa ni tuta ambalo Leicester...

Hili ni jibu la Zlatan baada ya kuulizwa kama anakaribia ku-sign na club ya...

Jana usiku Zlatan alisaidia club yake ya PSG kuitoa nje ya mashindano club ya Chelsea na kuipa nafasi PSG ya kusonga mbele. Sasa baada...

Scholes amtoa Fellaini kikosini Man United

Paul Scholes amewatupia lawama baadhi ya wachezaji baada ya Manchester United kupoteza mchezo dhidi ya Watford kwa kufungwa mabao 3-1. Scholes, ambaye anafanya kazi ya...

SCHWEINSTEIGER AAMUA KUGEUKIA KWENYE GOFU BAADA YA KUTEMWA NA MOURINHO

Wakati wachezaji wenzake wa Manchester United wakiwa bize kujiandaa na mchezo wao ligi dhidi ya Southampton leo, kiungo asiye na nafasi kunako klabu hiyo...

FABREGAS AMDHIHIRISHIA KONTE UBORA CHELSEA IKISHIDA UGENINI

Mabao mawili ya Cesc Fabregas katika muda wa ziada yaliwapa Chelsea ushindi mnono baada ya kutoka nyuma kwa mabao mawili na kuwafunga Leicester pungufu...

Kumbe Klopp alifanya kitu hiki kibaya Manchester kabla ya kwenda Liverpool.

Licha ya kumsifia sana Sir Alex Fergie ambae ni kocha mwenye mafanikio ndani ya Manchester united, lakini Klopp ametoa siri yake kubwa kwamba hakuwa...

STORY KUBWA