Sunday, September 23, 2018

Ligi

Home Ligi

CHEKI HIGHLIGHTS ZA SAMATTA NA ULIMWENGU WAKIWA NA TP MAZEMBE Vs USM ALGER

Jana usiku TP Mazembe ilipata ushindi ugenini wakicheza dhidi ya USM Alger kwa matokeo ya 2-1. Sasa hivi wana kazi moja tu iliyobaki ili...

YAYA TOURE AGOMA KUBAKI UWANJANI, AKASIRISHWA NA PELLEGRINI

Kweli hakuna kazi ngumu kwa kocha kama kuwa na kikosi chenye wachezaji maarufu wenye majina kama Yaya Toure. Baada ya jana Toure kuifungia goli...

MASHABIKI CHELSEA WAMBAKIZA MOURINHO

Baada ya jana kukubali kichapo kingine cha bao 3-1 katika uwanja wao wa nyumbani dhidi ya Liverpool, mashabiki wa Chelsea waliamua kuimba huku wakimtaja...

BAADA YA KUICHEKI UWANJANI…HII NI SUMMARY YA MECHI YA KAIZER CHIEFS VS ORLANDO PIRATES

31 October 2o15 ndio siku ambayo mechi kati ya Kaizer Chiefs Vs Orlando Pirates imefanyika kwenye uwanja wa FNB Stadium. Mechi hii ni kubwa...

MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA EPL JUMAMOSI NOVEMBER 1

Ligi kuu nchini England imeendelea leo kwa kushudia michezo kadhaa ikipigwa kwenye viwanja tofauti huku timu hizo zikiwania pointi tatu muhimu ili kujiweka sawa...

Ronaldo ndani ya msimu wake bora zaidi na Madrid – hizi hapa rekodi zake

Katika msimu mpya wa soka barani ulaya Real Madrid wana rekodi ya kupiga mipira mingi zaidi langoni mwa wapinzani - mara 150 - na...

Rooney anavyochangia kuidhoofisha Man United

Katika mchezo wa Manchester Derby wikiendi iliyopita, kuna wakati ndani ya kipindi cha kwanza mshambuliaji na nahodha wa Manchester United alipata mpira akiwa upande...

KLOPP HAONI KAMA MECHI YA LIVERPOOL VS CHELSEA NI KUBWA

Kocha wa Liverpool Mjerumani Jurgen Klopp amesema kwa mtazamo wake inachezwa mechi kati ya timu zilipo katika nafasi ya 9 na 15 kwenye msimamo...

SIHOFII KIBARUA CHANGU – JOSE MOURINHO

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema huwa hakai na kufikiria kuhusu kibarua chake Stamford Bridge huku akiviambia vyombo vya habari kwamba vinajaribu kuweka presha...

RATIBA YA MECHI ZOTE ZA VPL, EPL NA LA LIGA JUMAMOSI NA JUMAPILI HII

Ligi mbalimbali bado zinaendelea duniani, wapenda soka wanapenda kujua ratiba za gili mbalimbali hasa katika siku za mwisho wa wiki ili wapate kufuatilia baadhi...

STORY KUBWA