Sunday, July 15, 2018

Ligi

Home Ligi

MESSI AELEZEA UADUI WAO NA CRISTIANO RONALDO

Kabla haujasoma hii story kumbuka kwamba hawa jamaa wanapeana mikono kwenye kila mechi ya El Classico ya La Liga ambapo wanakutana Real Madrid Vs...

VIDEO: BARCELONA YATHIBITISHA IPO VIZURI BILA MESSI, KAMA HUKUIONA MECHI ANGANGALIA MAGOLI YOTE HAPA

Soka sadi wanaloonyesha Barcelona unaweza kuona kila weekend kwenye La Liga ambapo wakiwa na mastaa wao huwa wanapiga soka safi sana.  Azam TV ndio...

ETI HAWA NDIO WACHEZAJI WATATU WANAOTABIRIWA KUVUNJA REKODI WALIZOWEKA MESSI NA RONALDO

Najua ni jinsi gani namna kulivyo na ugumu kuanzisha majadiliano haya, ukizingatia kwamba mastaa hawa wawili bado wana njaa ya mafanikio, lakini ishara zinaweza...

VIDEO: HAWA NDIO WANATABIRIWA KUWA WARITHI MESSI NA NEYMAR BARCELONA

Ukiwa unaendelea kuangalia vipaji vya sasa ambavyo vimepitia La Masia Academy kama Lionell Messi na wengine kupitia Azam TV ambayo inaonyesha live La Liga,...

Ikiwa atakutwa na hatia, hii ndio adhabu ya kifungo kwa Messi

Masaa 24 tangu ilipotoka taarifa kwamba mwanasoka wa FC Barcelona na Argentina Lionel Messi sasa atafunguliwa rasmi mashtaka mahakamani kwa kesi ya kukwepa kodi...

LIONEL MESSI ANATUMIA KIFAA MAARUFU KUPONA HARAKA…KINAITWA “GAME READY”

Hali tete ya Barcelona labda inaweza isiwe ya muda mrefu kwasababu mkali wao Lionel Messi anatumia kifaa special kwa ajili ya kutibu mguu wake....

STAR WA REAL MADRID HAJAPENDA JINSI ANAVYOTOLEWA UWANJANI MARA NYINGI NA BENITEZ

"Kutolewa nje ni maamuzi ya kocha na mimi nipo hapa kusaidia timu yangu. Ni kweli nimechoka kutolewa nje. Lakini mimi natulia naendelea kufanya kazi...

NEYMAR KATIMIZA MOJA YA NDOGO YAKE YA UTOTONI…WEWE JE?

Wonder boy Neymar amecheza soka tangu akiwa mtoto hadi leo akiwa na malengo ya kutimiza ndoto zake. Moja ya ndoto hizo ni kumiliki gari...

DANIEL ALVES AMPIGA KIWEMBE NEYMAR HADI WATU WAMECHUKIA

Kwenye La Liga yanayotokea ni zaidi ya soka na magoli, hili nalo ni jipya limetokea kwenye ligi ya Hispania na kuwahushisha mastaa wawili Neymar...

NEYMAR NI BORA ZAIDI YA RONALDO NA MESSI…NANI KASEMA HIVI?

Kila siku story inayoleta mdahalo ni kujaribu kujua nani mchezaji mkali kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi. Jibu bado halijapatikana ukizingatia Messi kamaliza...

STORY KUBWA