Friday, August 17, 2018

Ligi

Home Ligi

HUU NDIO USHAURI WA BECKHAM KWA MEMPHIS DEPAY

David Beckham amemshauri winga wa sasa wa Manchester United mholanzi Memphis Depay kuwa asiiogope jezi namba 7 wala kuichukulia kwa mzaha na kwamba ni...

KICK YA PIERRE AUBAMEYANG INAZIDI KUPANDA INSTAGRAM NA UWANJANI

Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon na club ya Borussia Dortmund ni jina kubwa katika fani ya soka sasa hivi kwa kasi yake...

SALOMON KALOU MOTO CHINI NDANI YA BUNDESLIGA…MAGOLI 10 NDANI YA MECHI 13

Mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast hivi sasa ni mchezaji muhimu sana kwenye club ya Hertha Berlin. Hadi sasa Kalou ameshafunga magoli 10 kwenye...

MADRID, MSIYEMPENDA KAJA!

Zikiwa zimebaki siku nne kuelekea mchezo wa mahasimu wakubwa wa soka la Hispania, El Classico inayowakutanisha miamba yasoka Real Madrid na Barcelona, Lionel Messi...

FABREGAS HAJUI NINI TATIZO LA CHELSEA MSIMU HUU

Kiungo Cesc Fabregas wa Chelsea na timu ya taifa ya Hispania amesema msimu huu kwao umekua mbaya sana na kwamba hajui nini kinaenda vibaya...

CLUB HII KUBWA INATAKA SIGN YA LEWANDOWSKI…WAKALA WAKE AMETHIBITISHA

Lewandowski star wa Bundesliga ya Startimes amefanya vizuri sana kwenye mwanzo wa msimu huu kwa pande zote mbili kwa club na kitaifa. Wakala wake Cezary...

MASHABIKI WA ARSENAL WAME-REACT KWA MSHANGAO KUHUSU TETESI ZA MESSI KUICHAGUA ARSENAL

Hakuna club ambayo ina mashabiki ambao wanaichukua timu yao na kuipenda pia kama mashabiki wa Arsenal. Baada ya tetesi kusambaa kwenye mtandao leo kwamba...

KUELEKEA EL CLASICO…MESSI AMEFANYA MAZOEZI NA KIKOSI LEO.

Inawezekana labda tukamuona Lionel Messi kwenye mechi ya El Clasico kati ya Barcelona Vs Real Madrid siku ya Jumamosi. Watu wengi walikua wanalalamika kwamba...

MESSI AMEICHAGUA CLUB HII YA EPL NA KIASI HIKI CHA MSHAHARA KAMA AKIHAMIA.

Zimebaki siku 5 kuelekea mechi kubwa ya La Liga ambayo ni maarufu kwa jina la El Clasico wachezaji Messi na Ronaldo wanaandikwa sana. Habari kutoka...

GARY NEVILLE AGOMA RONALDO KURUDI MAN UNITED, AMTAKA MCHEZAJI HUYU

Legendari wa Manchester United, Gary Neville amesema hadhani kama ni sahihi kwa klabu kuangalia yaliyopita zaidi ya kuangalia mbele. Neville anasema haungi mkono suala...

STORY KUBWA