Tuesday, October 16, 2018

Ligi

Home Ligi

Wayne Rooney katika Kiwango kibovu zaidi Maisha Mwake –  Mbinu za Van Gaal zisivyomsaidia.

Katika kipindi cha maswali na majibu wiki iliyopita na gazeti moja nchini Uingereza - Wayne Rooney aliulizwa ikitokea amepewa nguvu za maajabu angependa kufanya...

TAARIFA 4 ZINAZOSUMBUA JUU YA USAJILI WA JANUARY, MAN U YATENGA £50M KUNASA STRIKER

Hizi ni habari nne zinazosumbua kwa sasa kuhusu usajili kwa vilabu vya soka vya Ulaya kwenye kipindi cha dirisha dogo la usajili mwezi January. Manchester...

Video : Bournemouth washerekea kama machizi baada ya kuifunga Chelsea

Kocha cha Bournemouth amesema anaomba wasamehewe kwa kushangilia kupitia kiasi baada ya kuifunga Chelsea kwenye uwanja wa Stamford Bridge kwasababu ushindi huo ni wa...

MASHABIKI WA CHELSEA HEBU ANGALIENI HIZI TWEETS ZINAWAHUSU

Glenn Murray alifungia Bournemouth goli la ushindi dakika ya 82 dhidi ya Chelsea na kuipa ushindi wa goli 1-0 kwenye wa Stamford Bridge na...

MANCHESTER UNITED NA SAKATA KUHUSU NAFASI YA VAN GAAL

Klabu ya Manchester United haina mpango wowote wa kuachana na kocha wao wa sasa Loius Van Gaal pamoja na kutopata matokeo mazuri uwanjani. Gazeti la...

MOURINHO AZUNGUMZIA USAJILI JANUARI

Baada ya kipigo cha kushangaza kutoka kwa Bernoumoth cha goli 1-0 katika uwanja wao wa nyumbani wa Stamford Bridge, kocha Jose Mourinho wa Chelsea...

DAUDA TV: GARY NEVILLE AISHUHUDIA VALENCIA IKIIBANA MBAVU BARCELONA

Mabingwa watetezi wa taji la ligi ya Hispania na Ulaya Barcelona wamelazimihwa sare ya kufungana goli 1-1 na vigogo wengine wa ligi ya Hispania...

ULIPITWA NA GOLI 3 ZA ARSENAL DHIDI YA SUNDERLAND? ZIANGALIE HAPA KUPITIA DAUDA TV

Licha ya kuwa na majeruhi wengi kwenye kikozi cha Ara sene Wenger kimeweza kuchomoza na ushindi wa bao 3-1 dhidi ya Sunderland kwenye mchezo...

DAUDA TV: MADRID BADO HAIJAKATA TAMAA, YAENDELEA KUIKIMBIZA BARCELONA KIMYAKIMYA

Real Madrid imeweza kuibuka na ushindi wa bao 4-1 ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani Santiago Bernabeu dhidi ya Getafe ushindi ambao unaifanya Madrid...

DAUDA TV: CHELSEA HOI BIN TAABAN…

Timu ya Chelsea bado imeendelea kuwa katika wakati mgumu kufuatia leo kupoteza tena mchezo wake wa ligi mbele ya Bournemouth ikiwa kwenye uwanja wake...

STORY KUBWA