Thursday, July 19, 2018

Ligi

Home Ligi

STEVEN GERRARD AMEZUNGUMZA NA KLOPP KUHUSU KURUDI LIVERPOOL

Gerrard na Klopp wamekutana kwenye mechi ya Liverpool Vs Crystal Palace na kufanya mazungumzo ya muda kidogo. Gerrard kwa sasa anacheza kwenye ligi ya...

PICHA ZA WACHEZAJI WA MANCHESTER CITY BAADA KU-TOUCH DOWN MANCHESTER

Kikosi cha Manchester City kimewasiri kwao jijini Manchester kuendelea na harakati nyingine za michezo yao ikiwemo ratiba ya ligi. Ikumbukwe kwamba Manchester city imeshafuzu...

Juma Ndanda Liuzio; Niliishi bila kuwa na Tsh.100 Mtibwa Sugar, sijui kwa nini nipo...

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Juma Ndanda Liuzio Jumamosi iliyopita aliisaidia klabu yake ya Zesco United kushinda ubingwa wa...

Usiku wa Ulaya: Nani kuingia 16 bora, nani kuaga Mashindano leo?

Usiku wa ulaya unaokutanisha vilabu mabingwa wa ulaya unaendelea leo kwa michezo 8 kupigwa katika viwanja tofauti barani humo.    Usiku wa leo ndio hatua ya...

Alichosema Fabregas Kuhusu Kuongoza Mgomo Dhidi Ya Mourinho

Baada ya kuzuka kwa tuhuma kwamba yeye ni mmoja wa wachezaji wanaoongoza mgomo wa wachezaji wa Chelsea dhidi ya kocha wap Jose Mourinho -...

REFEREE AJIKUTA AKISHANGILIA GOLI LA TOTTENHAM

Baada ya mchezo wa jana kati ya Tottenham dhidi ya Aston Villa uliochezwa kwenye uwanja wa White Hart Lane, kumeibuka mijadala kwenye mitandao ya...

PELLEGRINI AMKINGIA KIFUA BONY

Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini amewaasa mashabiki wa klabu hiyo kutoa sapoti ya kutosha kwa mshambuliaji wa timu hiyo Wilfried Bony, lakini akikiri...

RAMIRES, OSCAR WATOA NENO KUHUSU MATOKEO MABOVU YA CHELSEA

Kiungo wa Chelsea na timu ya taifa ya Brazil Ramires bado anaamini kwamba kocha wa klabu yake Jose Mourinho bado ana sapoti kubwa kutoka...

CHEKI HIGHLIGHTS ZA SAMATTA NA ULIMWENGU WAKIWA NA TP MAZEMBE Vs USM ALGER

Jana usiku TP Mazembe ilipata ushindi ugenini wakicheza dhidi ya USM Alger kwa matokeo ya 2-1. Sasa hivi wana kazi moja tu iliyobaki ili...

YAYA TOURE AGOMA KUBAKI UWANJANI, AKASIRISHWA NA PELLEGRINI

Kweli hakuna kazi ngumu kwa kocha kama kuwa na kikosi chenye wachezaji maarufu wenye majina kama Yaya Toure. Baada ya jana Toure kuifungia goli...

STORY KUBWA