Friday, October 19, 2018

Ligi

Home Ligi

VAN GAAL ATOA ‘SPEECH’ ATAKA UMOJA, MOURINHO AKISUBIRI

Ikiwa presha inazidi kuwa juu Manchester United, kocha Louis Van Gaal jana Jumatatu alitoa hutuba fupi iliyokua na hisia nzito hasa kutokana na mwenendo...

Takwimu Mbaya Zaidi Kwenye EPL – Manchester United Yaongoza

Msisitizo wa Manchester United kucheza soka la kumiliki mpira zaidi chini ya kocha Louis van Gaal umefanya wawe wanapiga pasi nyingi zaidi kabla ya...

Wenger amwagia sifa Ozil na hizi ni habari mbaya kuhusu Sanchez

Kwenye mechi ya jana dhidi Manchester City kila mtu anaongelea kuhusu ushindi in general na pia bila kusahau perfomance ya Mesut Ozil. Sasa kocha wake...

Yaya Toure amepondwa kwa perfomance ya jana Vs Arsenal.

Yaya Toure licha ya kufunga goli pekee la Manchester City kwenye mechi ya jana dhidi ya Arsenal lakini baadhi ya watu wanasema alikuja na...

USHINDI WA ARSENAL DHIDI YA MAN CITY WAMPA KIBURI MZEE WENGER, MSIKIE ALICHOKISEMA

Ushindi walioupata Arsenal dhidi ya Manchester City umewapa imani kuwa wapo kwenye mbio za kuwania ubingwa wa ligi kuu England msimu huu, amesema manager...

STORY MPYA MJINI NI KUHUSU GUARDIOLA KUTUA CHELSEA

Klabu ya Chelsea inaamini staili ya maisha ya London itakuwa ni sehemu ya kigezo kikibwa cha kumnasa Pep Guardiola wakati wakijiandaa kutoa kitita kikubwa...

DAUDA TV: ARSENAL MWENDO MDUNDO EPL, YAIKALISHA MAN CITY

Magoli mawili yaliyofungwa na Theo Walcott pamoja na Olivier Giroud yameiwezesha Arsenal kuibuka na pointi tatu kwenye uwanja wao wa nyumbani dhidi ya Manchester...

OZIL AMPIGIA DEBE MOURINHO ATUE MAN U

Mesut Ozil anahisi kuwa kocha wake wa zamani Jose Mourinho anaweza akaifanya Man United kurudi katika ubora wake tena kama zamani. Mourinho aalifukuzwa na Chelsea...

UNAJUA KWANINI OZIL HAJIANGUSHI UWANJANI? LEO KAWEKA KILAKITU HADHARANI

Mesut Ozil ameahidi kuwa kamwe hutomwona akijiangusha ama akijaribu kumdanganya mwamuzi pindi awapo uwanjani. Kiungo huyo mchezeshaji, ambaye yuko kwenye kiwango cha juu hivi sasa...

BLATTER, PLATINI, WATUPWA JELA YA SOKA

Rais wa shirikisho la soka duniani Sepp Blatter pamoja na Rais wa UEFA Michel Platini wamefungiwa kwa muda wa miaka nane (8) kujihusisha na...

STORY KUBWA