Sunday, March 18, 2018

Ligi

Home Ligi

SIRI YA SERBIA KWA MAFANIKIO YA SOKA LA VIJANA; WAO WAMEWEZA KWANINI TANZANIA...

Kwa msaada wa Tovuti ya UEFA na chama cha soka nchini Serbia Ikiwa na idadi  ndogo ya watu takribani  milioni saba , Serbia haiwezi kuchukuliwa...

PSG, MADRID WAMVAA EDEN HAZARD CHELSEA

Klabu ya PSG imejitosa kugombana na klabu ya soka ya Real Madrid kuwania saini ya mchezaji Eden Hazard wa Chelsea katika majira ya kiangazi...

HII NDIYO KAULI YA CARLO ANCELOTTI KUHUSU CHELSEA

Kocha wa zamani wa klabu za AC Milan, PSG, Chelsea na Real Madrid, muitaliano Carlo Ancelotti ameelezea tatizo lililopo Chelsea hivi sasa huku akisema...

Je Messi anaweza kutamba Britannia kwa Stoke? Barca ingeweza kutwaa EPL? Majibu ameyatoa Pique...

“Yeah, but can he do it on a cold rainy night in Stoke. (Ndio, lakini anaweza kufanya anayofanya kwenye usiku wa baridi na mvua pale...

Uchambuzi wa Filamu Cristiano Ronaldo kwenye namba – Rihanna, Man Utd, Madrid, Messi wote...

Ni siku mbili tangu filamu ya mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo ilipotoka kwa mara ya kwanza na kufanyiwa uzinduzi jijini London -...

UNAHAFAMU TOTTI ALILAZIMIKA KUTOA FEDHA KWA POLISI ILI KUMLINDA MTOTO WAKE

Imegundulika kuwa nyota wa klabu ya AS Roma Francesco Totti amekuwa akiwalipa Polisi kwa miaka miwili kuanzia mwaka 2008 na 2010 ili kumlinda mtoto...

SABABU KWANINI POGBA HAFAI KUSAJILIWA NA FC BARCELONA

Vyanzo kadhaa vya habari za michezo duniani vimekuwa vikimhusisha kinda wa kifaransa Paul Pogba na usajili kwenda jijini Catalunya kujiunga na FC Barcelona. Pogba...

Gonzalo Higuin kwenda Chelsea? Wakala wake ametoa majibu

Siku nyingine ya mwezi November imekuja na story nyingine ya usajili barani ulaya. Story ya leo inaihusisha klabu ya Chelsea - mwandishi wa habari wa...

DAUDA TV: RONALDO AKATAA KUPEANA MKONO NA RAMOS BAADA YA KIPIGO CHA SEVILLA

Mambo yanaonekana kutokwenda vyema kunako klabu ya Real Madrid msimu huu. Wana pointi tatu nyuma ya Barcelona katika La Liga, lakini kuna mpasuko mkubwa...

PATRICK VIEIRA KOCHA MPYA WA KLABU YA NEW YORK CITY YA NCHINI MAREKANI

Klabu ya New York City inayoshiriki Ligi Kuu ya soka nchini Marekani maarufu kama ‘MLS’ imemteua mchezaji wa zamani wa klabu ya Arsenal na...

STORY KUBWA