Sunday, February 25, 2018

Ligi

Home Ligi

Gonzalo Higuin kwenda Chelsea? Wakala wake ametoa majibu

Siku nyingine ya mwezi November imekuja na story nyingine ya usajili barani ulaya. Story ya leo inaihusisha klabu ya Chelsea - mwandishi wa habari wa...

DAUDA TV: RONALDO AKATAA KUPEANA MKONO NA RAMOS BAADA YA KIPIGO CHA SEVILLA

Mambo yanaonekana kutokwenda vyema kunako klabu ya Real Madrid msimu huu. Wana pointi tatu nyuma ya Barcelona katika La Liga, lakini kuna mpasuko mkubwa...

PATRICK VIEIRA KOCHA MPYA WA KLABU YA NEW YORK CITY YA NCHINI MAREKANI

Klabu ya New York City inayoshiriki Ligi Kuu ya soka nchini Marekani maarufu kama ‘MLS’ imemteua mchezaji wa zamani wa klabu ya Arsenal na...

DAVID MOYES ATUPIWA VIRAGO HISPANIA

Kocha wa zamani wa vilabu vya Manchester United na Everton za nchini England, Mscotish David Moyes amefukuzwa kazi rasmi na klabu ya Real Socieded...

SCHWEINSTEIGER AWATULIZA MASHABIKI KUHUSU VAN GAAL

Kiungo mkongwe wa Manchester United na timu ya taifa ya Ujerumani Bastian Schweinsteiger amewapa moyo na kuwataka mashabiki wa United wawe wavumilivu dhidi ya...

HAWA NDIO WACHEZAJI WANAOWANIWA NA VAN GAAL

Kocha Louis Van Gaal wa Manchester United anawania saini za wachezaji 'mawinga' wenye kasi zaidi ili kuipa nguvu safu ya ushambuliaji ambayo imekua ikisuasua...

ARSENAL SASA YAPATA ‘BOOST’ RAMSEY, BELERIN NA OX SHWARI

Klabu ya Arsenal sasa imepata ahueni kwa wiki iliyokua mbaya sana kwao baada ya kuandamwa na majeruhi na hata kuwa sababu ya kutopata matokeo...

STRAMACCIONI KOCHA MPYA PANATHINAIKOS

Kocha wa zamani wa vilabu vya Inter Milan na Udinese Andrea Stramaccioni ametangazwa rasmi kuwa kocha wa klabu ya Panathinaikos ya nchini Ugiriki. Taarifa hizo...

HAPPY BIRTHDAY ANDREAS ‘ANDY’ BREHME

Kama umezaliwa leo tarehe 9 mwezi wa 11,basi jua umezaliwa pamoja na mcheza soka wa zamani wa vilabu vya Kaiserslautern,Bayern Munich na Inter Milan...

OZIL AWEKA REKODI MPYA EPL

Mpika mabao wa Arsenal Mesut Ozil ameweka rekodi mpya katika Ligi Kuu nchini England (EPL) baada ya kutoa pasi za magoli katika michezo sita...

STORY KUBWA