Thursday, September 20, 2018

Ligi

Home Ligi

Haya ni mambo unayotakiwa kuyajua kuhusu Liverpool Vs Manchester United.

Jumapili ya leo kwa wapenda soka wote lazima waimalize kwa kuangalia game ya Liverpool Vs Manchester united ambayo kwa hapa Tanzania tunaigalia kupitia Dstv...

KLOPP: NILISHINDWA KUJIUNGA MAN UNITED

Katika kuelekea mchezo wa wapinzani wa jadi 'derby' kati ya timu mbili kubwa zenye historia nchini England, Liverpool na Manchester United, kocha wa Liverpool...

Picha 6 za Alexis Sanchez amerudi mazoezini.

Baada ya kukaa nje kwasababu ya majeraha aliyokua nayo Sanchez amefanya mazoezi na wachezaji wenzake leo wakijiandaa kucheza dhidi ya Stoke City. Pia kuna...

Haya ni mawazo ya Ali Kiba kuhusu mechi ya Liverpool Vs Manchester United

Ali Kiba zaidi ya kuwa na mapenzi na kazi yake ya muziki lakini pia ni mpenzi na mchezaji hatari. Ukizungumzia swala la ushabiki, Ali...

Cristiano Ronaldo ameuza kwenye cover GQ Magazine body issue.

Cristiano Ronaldo ameuza kwenye cover la magazine mpya maarufu ya GQ Body Issue. Ronaldo amekaa kwenye cover hiyo na model maarufu Alessandra ambae na...

Picha 10 za jinsi John Terry alivyoikoa Chelsea kwenye aibu.

Baada ya kujifunga dakika 5 baada ya kipindi cha pili kuanza, John Terry na timu yake wakajikuta wanakua nyuma kwa magoli mawili bila. Dakika ya 64...

ADHABU YA MADRID YAVITESA VILABU VYA ENGLAND

Baada ya klabu ya soka ya Real Madrid kufungiwa na shirikisho la soka duniani FIFA, isisajili kwa kipindi cha miezi 18 kuanzia majira ya...

KUELEKEA MCHEZO WA LIVERPOOL VS MAN U, HIVI NDIVYO ANAYOAMINI VAN GAAL KUHUSU UBINGWA

Boss wa Manchester United Louis van Gaal hatarajii kwamba itachukua miaka 26 ili klabu yake kutwaa ubingwa kwa mara nyingine tena. United ilichukua miaka 26...

Kumbe Klopp alifanya kitu hiki kibaya Manchester kabla ya kwenda Liverpool.

Licha ya kumsifia sana Sir Alex Fergie ambae ni kocha mwenye mafanikio ndani ya Manchester united, lakini Klopp ametoa siri yake kubwa kwamba hakuwa...

El Chapo alitaka kuinunua Chelsea kabla ya Roman Abramovich

Gazeti moja la udakuzi wa habari za ndani za Sport wametoka na habari mpya baada muuza unga maarufu duniani Guzman El Chapo kukamatwa tena....

STORY KUBWA