Thursday, July 19, 2018

Ligi

Home Ligi

VARDY, RANIERI, WATWAA TUZO EPL

Manager wa Leicester City Claudio Ranieri pamoja na striker wake Jamie Vardy wameshinda tuzo ya kocha bora na mchezaji bora wa mwezi November kwenye...

NAPOLI DHIDI YA AS ROMA NI ZAIDI YA GEMU.

Ni wikend nyingine tena ambapo Ligi Kuu ya soka nchini Italia maarufu kama Serie A itaendelea tena kwa siku za kesho,jumapili na siku ya...

Sababu 5 Kwanini Neymar Atakuwa Mwanasoka Bora Wa Dunia Miezi Kadhaa Ijayo

Kwa mara ya kwanza jukwaa la Ballon D'or litapata ugeni mpya wakati mshambuliaji wa kibrazil Neymar Dos Santos atakapoungana na wafalme wawili wa tuzo...

DIEGO COSTA ATISHIA KURUDI ATLETICO MADRID, CHELSEA YAWATAKA HAWA

Akihojiwa na radio moja nchini Hispania mshambuliaji wa klabu ya soka ya Chelsea Diego Costa amesema siku zote moyo wake uko Atletico Madrid huku...

HUYU NDIYO MRITHI WA LOUIS VAN GAAL MAN UNITED

Kocha Louis Van Gaal wa Manchester United anaweza kutimka klabuni hapo mwisho wa msimu huu pamoja na kuwa bado ana mkataba hadi msimu ujao....

Van Gaal Amepoteza Haki ya Kuamua Ataondoka Vipi Old Trafford

Kwanza ni muhimu kuliweka hili wazi, kwa namna inavyoonekana na kutokana na utaratibu wao katika uajiri na kufukuza, pamoja na kuendelea kufanya vibaya bado...

KOCHA MWINGINE AFUNGASHIWA VIRAGO EPL

Swensea City imemtupia virago kocha wake Garry Monk baada ya kushinda mchezo mmoja kati ya 11 ambayo ameingoza Swansea kwenye ligi ya England msimu...

Arsene Wenger abambwa anachora vikatuni kwenye press ya UEFA

Inaonekana labda kazi ya Arsene Wenger kuwa ni nyepesi sana usiku wa leo dhidi ya Olympiacos kaisi kwamba ame-relax kupita kiasi. Camera za waandishi wa...

Mambo 5 ambayo unatakiwa kuyajua kuhusu Raheem Sterling baada ya kufikisha miaka 21

Jana December 8 ni siku ya kuzaliwa ya Raheem Sterling ambapo amefikisha miaka 21 na kutupia goli mbili kwenye mechi ya UEFA. Hivi hapa ni...

KWAHERI MANCHESTER UNITED. IPO SIKU TUTATIZAMA EPL KWA AKILI.

Wakati msimu unaanza wadau wa United walisema hakuna Champions League bila ya Manchester United......Hakuna ushindi kwa Waingereza kwenye Uefa bila Manchester United. Manchester United...

STORY KUBWA