Friday, September 21, 2018

Ligi

Home Ligi

BUFFON KWENYE UBORA WAKE AINYIMA USHINDI AC MILAN (Video)

Kwa namna mambo yanavyokwenda kwa miaka ya hivi karibuni, si jambo la kushangaza Juventus kuitungua AC Milan kwa bao 2-1 kwenye uwanja wa San...

SIMBA YAFANYA KWELI TAIFA, AWADH JUMA SHUJAA

Simba bado imeendelea kutamba kwenye ligi ya Vodacom Tanzania bara baada ya kuinyamazisha Tanzania Prisons ya Mbeya kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa raundi...

TATHMINI YANGU KUHUSU OMBI LA MANJI KUIMILIKI TIMU HIYO KWA ASILIMIA 75

Awali ya yote ningeomba tuitambue kwa ufupi sana klabu hii ya Young Africans ‘Yanga’ tangu ilipoanzishwa, maendeleo iliyofikia, mifumo ya uendeshaji toka kuanzishwa kwake...

OZIL AIPA ARSENAL SHARTI GUMU ILI KUBAKI EMIRATES

Mesut Ozil anaweza kuondoka Arsenal mwishoni mwa msimu ikiwa Arsene Wenger ataendelea kubaki kukinoa kikosi hicho. Mchezaji huyo wa kimataifa raia wa Ujerumani amekuwa katika...

Mario Balotelli aibuka na jipya, achelewa mazoezini lakini arejea na kilo 100

Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa na mjasili haachi asili hii ni ukiwaza alichochanya moja washambuliaji watukutu ulimwenguni Mario Balotelli. Sasa wakati Mario Balotelli...

CHELSEA YAMUWANIA STRIKER WA AC MILAN

Klabu ya soka ya Chelsea ya nchini England imeongeza jina la mshambuliaji wa klabu ya soka nchini Italia AC Milan, raia wa Colombia Carlos...

WAANDISHI WAMVURUGA RONALDO, ASUSIA KIKAO NA KUMUACHA ZIDANE (Video)

Katika hali ya kushangaza,  mshambuliaji Cristiano Ronaldo alitoka nje ya mkutano mara baada ya waandishi wa habari kumuuliza kuhusu fomu yake ya kufunga mabao...

Usajili wa Pogba kwenda Ujerumani wakwama sababu ya unene

Kaka mkubwa wa Paul Pogba aitwaye Mathias Pogba amekataliwa kucheza soka nchini Ujerumani katika klabu ya KFC Uerdingen kutokana na uzito uliopitiliza. Mathias alikuwa ni...

DAVID MOYES AKALIA KUTI KAVU HISPANIA

Presha imezidi kupanda kwa kocha David Moyes wa klabu ya Real Socieded inayoshiriki ligi kuu nchini Hispania (La Liga) mara baada ya jana usiku...

WENGER ASALIMU AMRI

Kocha wa Arsenal Mfaransa Arsene Wenger amekubali kuwa klabu yake ipo katika wakati mgumu katika mbio za kunyakua ubingwa wa England. Kwa mujibu wa mahojiano...

STORY KUBWA