Ligi

Home Ligi

#DTU: Madrid kutumia fedha za Morata na James kumsajili Mbappe

Hatma ya James Rodríguez inaonekana kuelekea Kusini Magharibi mwa Jiji la London baada ya Chelsea kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania saini ya mchezaji huyo.  Kulikuwa...

Unamshangaa Kante kubeba ubingwa? Ona hawa wengine.

Ngolo Kante kati ya bahati alizonazo ni kubena ubingwa msimu uliopita na msimu huu akiwa na timu mbili tofauti, lakini wapo wengine ambao wameshabeba...

Chelsea hivi mnamsikia Pep Gurdiola?

Unakumbuka kile kitabu cha hadithi kuhusu sungura baada ya kushindwa kurukia mkungu wa ndizi aligeuka zake na kuondoka akisema "sizitaki mbichi hizi" Sasa hadithi hiyo...

Kikosi mchanganyiko cha Man Utd na City cha Shaffih Dauda

Kuelekea katika mchezo wa Manchester Derby usiku huu kati ya Manchester United na Manchester City katika uwanja wa Etihad, mchambuzi Shaffih Dauda ana kikosi...

CR7 ana rekodi dhaifu vs Barca @SantiagoBernabeu – leo ataiboresha?

Real Madrid kwa mara nyingine tena watakuwa wanamtegemea Cristiano Ronaldo kwa ufungaji katika kujaribu kupata ushindi muhimu katika mchezo wa El Clasico usiku wa...

Sababu 5 kwanini Barca anaweza kugeuza matokeo na kufuzu vs Juventus

Barcelona wanahitaji historia nyingine leo usiku ili kuendelea kubaki katika michuano ya ulaya - ni ngumu lakini kuna sababu za kuamini kwamba kikosi cha...

Kwanini FIFA ndio italipa mshahara wa Seamus Coleman baada ya kuvunjika mguu

Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA wataanza kulipa stahiki ya mshahara wa kila wiki wa beki wa kulia wa klabu ya Everton Seamus Coleman mpaka...

Thierry Henry Aitamani Kazi Ya Ukocha Arsenal.

Jina la Thierry Henry ni maarufu kwenye masikio ya mashabiki wa Arsenal kutokana na nguli huyo kufanya makubwa kwenye historia ya klabu hiyo akiwa...

Vilabu Vya La Liga Vyakosekana Kwenye Orodha Ya Wingi Wa Mashabiki Viwanjani.

Inawezekana kabisa vilabu vya Hispania vikawa katika kiwango bora hasa wanaposhiriki michuano ya Ulaya Ubora huu hutakiwa kuchochea kuwepo kwa mashabiki wengi wanaoudhuria michezo...

Soka La Basque; Jimbo Linaloleta Mapinduzi Ya Kisoka Hispania.

Katika hali ya ajabu kabisa, lakini ikiwa imesalia miezi miwili La Liga kufikia kikomo msimu huu, timu zote 4 kutoka Basque zipo kwenye kinyang'anyiro...

STORY KUBWA