Wednesday, September 26, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

FARID MUSA AENDELEA KUFANYA YAKE, SASA NI ZAMU YA LA LIGA

Farid Musa yupo nchini Hispania akifanya majaribio na Club Deportive Tenerife ya ligi daraja la kwanza nchini humo ‘Segunda Division’ ambako tayari ameanza kufanya majaribio hayo. Wiki ijayo...

AZAM YAKOMAA MBELE YA WAARABU CHAMAZI

Azam imeutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani Azam Complex, Chamazi baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa bao 2-1 kwenye mchezo wa kwanza wa raundi...

Simba kuna ‘presha’ kubwa”-Aishi Manula

Golikipa namba moja wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Aishi Manula ameweka wazi tofauti iliyopo kati ya timu mbili ambazo...

UONGOZI MPYA WA YANGA UMETANGAZWA BAADA YA KURA ZOTE KUHESABIWA

Yusuf Manji ameshinda nafasi ya uenyekiti wa Yanga kiulaini kutokana na kutokuwa na mpinzani kwenye nafasi hiyo hivyo kupita bila kupingwa kwenye nafasi ambayo...

STORY KUBWA