Tuesday, September 18, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

SERIKALI YATOA MOTISHA KWA WACHEZAJI WA TWIGA STARS

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa motisha kwa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu wanawake(Twiga Stars) ikishinda...

BEACH SOCCER: Tanzania imepata ushindi mbele ya Uganda

Mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa soka la ufukweni kati ya timu ya taifa ya Tanzania dhidi ya Uganda umemalizika kwa Tanzania kupata ushindi...

VARDY AENDELEZA MOTO ENGLAND IKILALA NYUMBANI (Video)

Mambo bado yameendelea kumwendea poa Vardy msimu huu, baada ya kuiongoza Leicester kukaa kileleni mwa Premier League, ameifungia England magoli mawili ndani ya siku...

KAULI YA KANU KULIKOSOA SHIRIKISHO LA SOKA LA NIGERIA NI SOMO KWA TFF

Nohodha wa zamani wa kikosi cha Super Eagles Nwankwo Kanu amekosoa uongozi wa Shirikisho la mpira wa Miguu Nigeria (NFF) kwa kusema umechangia kwa...

STORY KUBWA