Sunday, September 23, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

AZAM NAYO YAREJEA DAR NA KUANZA SAFARI MPYA

Baada ya Yanga kutua jijini Dar es Salaam mchana wakitokea nchini Misri, baada ya saa chache wakaingia waliokuwa wawakilishi wengine wa Tanzania kwenye michuano...

MIKASA YA LIGI YA TANZANIA-Part IV

Na Zaka Zakazi Mpaka kufikia msimu wa nne wa ligi ya taifa, 1968, timu kali zilikuwa Yanga, Sunderland, Africans Sports na Cosmopolitan. Mwaka huu, FAT iliamua...

JOL: TUSHAWASOMA YANGA, WAJE TU

Wapinzani wa Yanga Al Ahly wamewasili leo alfajiri tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga na haraka kocha wao Martin...

MFUMO MPYA WA CAF UTAIPELEKA TENA YANGA LIGI YA MABINGWA MSIMU UJAO

Na Baraka Mbolembole Taarifa kwamba kuanzia msimu ujao michuano ya klabu Afrika hatua ya makundi itakuwa ikianza kuchezwa na timu 16 bora si tu itafungua...

Jicho la 3: Saad Kawemba ameshindwa, Hans van der Pluijm ndiye mtu sahihi wa kuinyanyua...

Na Baraka Mbolembole Awali sikuwa shabiki wa Hans van der Pluijm lakini miaka yake miwili na nusu kama kocha wa Yanga SC nitabaki kuamini ni...

Kiwango cha Henrikh Mkhitaryan kimezua mijadala mitandaoni

Mkhitaryan alifunga bonge la bao baada ya kuchukua mpira akiwa nusu ya uwanja (upande wa Man United) kisha kuwapangua wachezaji kadhaa wan a kufunga...

AZAM, SIMBA, YANGA, ZACHANJA MBUGA FA CUP

Timu za Azam FC, Simba SC, Yanga zimeungana na timu zingine saba kufuzu kwa hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho...

GEITA GOLD MINE FC YATWAA NAFASI YA PILI MICHUANO YA MEI MOSI 2016

Geita Gold Mine Football Club imetangazwa mshindi wa pili wa michuano ya Mei Mosi (May Day) baada ya kufungwa kwa magoli 2-0 dhidi ya...

Mwanza imetoa mshindi wa tatu Ndondo Super Cup

Kabla ya kupigwa fainali ya Ndondo Super Cup 2018, ulichezwa mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa mashindano hayo ambapo Mnadani FC wameibuka washindi...

PICHA: SAMATTA AIONGOZA STARS KWENYE MAZOEZI KUIKABILI CHAD

Timu ya taifa ya tanzania ‘Taifa Stars’ imeendelea vyema na maandalizi ya kuwania kufuzu kwa michuano ya Afrika AFCON dhidi ya timu ya taifa...

STORY KUBWA