Sunday, September 23, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

Waziri Nchemba anakaba hadi mechi za kirafiki!

Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba, ameonekana tena kwenye mchezo wa kirafiki wa Yanga wakati wanaikabili JKU kutoka visiwani Zanzibar. Mh....

LUKAKU AIPA SOMO CHELSEA (Video)

Everton walizifungua nyavu za Chelsea zikiwa zimebaki dakika 15 kabla ya mchezo wa robo fainali ya FA Cup kumalizika na huyo hakua mwingine bali...

CHEKI HIGHLIGHTS ZA SAMATTA NA ULIMWENGU WAKIWA NA TP MAZEMBE Vs USM ALGER

Jana usiku TP Mazembe ilipata ushindi ugenini wakicheza dhidi ya USM Alger kwa matokeo ya 2-1. Sasa hivi wana kazi moja tu iliyobaki ili...

BOCCO: TUTAPAMBANA BONGO NA AFRIKA HADI KIELEWEKE

Naodha wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, John Bocco ‘Adebayor’, amesema kuwa bado wataendelea kupambana katika Ligi Kuu ya Vodacom...

KATIBU MKUU BMT AIPAMBANISHA NDONDO CUP NA VPL

Baada ya jana Waziri mwenye dhamana ya michezo Nape Nnauye kuhudhuria kwenye michuano ya Sports Etra Ndondo Cup, leo Katibu Mkuu wa Baraza la...

HAYA NDIYO MATUMAINI YA VAN PLUIJM KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA APR

Kocha mkuu wa timu ya Yanga Hans van Pluijm leo amezungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wao wa Jumamosi dhidi ya APR FC...

HIMID MAO: GAME NGUMU, GAME MUHIMU, TUNATAKIWA KUPATA USHINDI

Kiungo wa Stars na Azam FC Himid Mao 'Ninja' amesema, kila mchezaji wa Stars yupo tayari kwa ajili ta game ya kesho dhidi ya...

10 Wafuzu majaribio Azam FC U-17 Mbeya

VIJANA 10 wenye umri chini ya miaka 17, wamefanikiwa kuchaguliwa kwenye majaribio ya wazi yaliyoendeshwa na Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam...

BILIONEA AL FAHIM AWA MWENYEKITI MTENDAJI WA KLABU YA VPL

Na Mwandishi wetu Mfanyabiashara maarufu wa kiarabu Dk Sulaiman Al-Fahim ametangazwa kuwa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon ambayo itashiriki ligi kuu ya Tanzania...

ALLY MAYAY ATOBOA KILICHOKWAMISHA AGENDA YA MAREKEBISHO YA KATIBA TFF

Kikao cha kwanza cha mkutano mkuu wa TFF kimemalizika jana huku story kubwa katika mkutano huo ikiwa ni agenda namba 11 inayohusu mabadiliko ya...

STORY KUBWA