Sunday, September 23, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

HIKI NDICHO KILICHOSABABISHA TP MAZEMBE KUTUPWA NJE YA MICHUANO YA CLUB WORLD CUP, KOCHA...

 Na Shaffih Dauda, Osaka, Japan Baada ya mchezo wa FIFA Club World Cup kumalizika hapa kwenye uwanja wa Osaka Nagai kati ya Sanfrecce Hiroshima dhidi...

SAMATTA, ULIMWENGU WATUPWA NJE KOMBE LA DUNIA

Kikosi cha TP Mazembe ambacho kinaundwa na watanzania wawili Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kimeenguliwa kwenye michuano ya FIFA Club World Cup inayoendelea kuchanja...

EXCLUSIVE INTERVIEW: HIKI NDICHO WALICHOKISEMA SAMATTA NA ULIMWENGU KUELEKEA MECHI YAO YA KWANZA CLUB...

Amini-usiasiami leo watanzania wawili Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wanaweka rekodi nyingine tena safari hii siyo Tanzania na Afrika tu, bali safari hii itakuwa...

MSANII ALI KIBA FACE TO FACE NA VICTOR WANYAMA & OLUNGA…WAMEZUNGUMZA HAYA KUHUSU SOKA

Footballer meets Musician/Footballer - Mchana wa leo Mwanamuziki wa Bongo Fleva Alikiba amekutana na mwanasoka wa kimataifa wa Southampton Mkenya Victor Wanyama jijini Nairobi...

PICHA ZA PATRICK VIERA ALIVYOFIKA NEW YORK CITY FC KAMA KOCHA KWA MARA YA...

Wiki hii Patrick Viera ameteuliwa kuwa kocha New York City FC na kuacha majukumu yake kama Elite Development Squad. Mchezaji huyu wa zamani wa...

SIRI YA SERBIA KWA MAFANIKIO YA SOKA LA VIJANA; WAO WAMEWEZA KWANINI TANZANIA...

Kwa msaada wa Tovuti ya UEFA na chama cha soka nchini Serbia Ikiwa na idadi  ndogo ya watu takribani  milioni saba , Serbia haiwezi kuchukuliwa...

PATRICK VIEIRA KOCHA MPYA WA KLABU YA NEW YORK CITY YA NCHINI MAREKANI

Klabu ya New York City inayoshiriki Ligi Kuu ya soka nchini Marekani maarufu kama ‘MLS’ imemteua mchezaji wa zamani wa klabu ya Arsenal na...

BAADA YA KUCHEKI VIDEO, HIZI NI PICHA ZA TP MAZEMBE WALIVYOKUA KANISANI

Baada ya mazoezi ya club ulifika muda wa misa maalum kanisani kwa ajili ya kuiombea neema club ya TP Mazembe. Hakuna mchezaji aliyelazimishwa kwenda...

HIZI NI PICHA ZANGU NIKIWA LUBUMBASHI KWENYE UWANJA WA TP MAZEMBE

Namshkuru mungu nimefika salama hapa Congo DRC na ndege ya Ethiopia via Addis Ababa tayari kwa ajili ya kushudia mechi ya pili ya fainali...

Juma Ndanda Liuzio; Niliishi bila kuwa na Tsh.100 Mtibwa Sugar, sijui kwa nini nipo...

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Juma Ndanda Liuzio Jumamosi iliyopita aliisaidia klabu yake ya Zesco United kushinda ubingwa wa...

STORY KUBWA