Thursday, September 20, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

YANGA WALIKUWA ‘JAMVI LA WAGENI’ 1998, SASA WATAKUWA WABABE WA AFRIKA

Na Baraka Mbolembole Mabingwa mara mbili mfululizo wa ligi kuu Tanzania Bara, timu ya Yanga SC imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda,...

HILI NDIYO JIBU LA SAMATTA BAADA YA KUULIZWA ANAOA LINI (Video)

Siku chache zilizopita, mtangazaji wa kitanzania Salim Kike anaefanya kazi kwenye shirika la utangazaji la BBC alisafiri kutoka jijini London England hadi Genk, Belgium...

YULE TRAFFIC MDAU WA YANGA APIGWA RISASI

Taarifa imenifikiakwamba, yule traffic ambaye ni mdau mkubwa wa michezo na klabu ya Yanga Sgt Ally Kinyogori amepigwa risasi jana usiku akiwa nyumbani kwake. Taarifa...

PICHA 15: UHONDO WA NDONDO NJE YA UWANJA

Asikwambie mtu utamu wa Ndondo upo nje ya uwanja, hilo limeendelea kudhihirika wakati wa mchezo wa robo fainali kati ya Misosi FC dhidi ya...

MADRID YADUWAZWA UJERUMANI (Video)

Wolfsburg imeishangaza Real Madrd baada ya kuicharaza kwa mabao 2-0 kwenye mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa barani Ulaya ikiwa ni hatua ya...

BAADA YA KIWANGO ‘KABAMBE’ ALEXANDRIA, MANJI ANAPASWA KUFANYA MAMBO HAYA MATATU YANGA

Na Baraka Mbolembole Licha ya kupoteza mchezo wa usiku wa jana (ugenini) mabingwa wa kandanda Tanzania bara, timu ya Yanga SC imeendelea kupiga hatua kubwa...

LIGI YA CHINA TISHIO KWA VILABU VIKUBWA BARANI ULAYA

Kutokana na wimbi la mastaa wengi barani Ulaya kukimbnilia ligi kuu ya nchini China haili hiyo inaonesha kutishia mustakabali wa vilabu vikubwa barani Ulaya...

KOLO TOURE AMWAGA SIFA KWA DENIS SUAREZ  WA VILLARREAL  (Video)

Kolo Toure pamoja na Simon Mignolet walizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wao dhidi ya Villarreal ambao ulimalizika kwa Liverpool kuchezea kichapo...

Azam Fc uso kwa uso na Mtibwa Dec 10

KATIKA kujiandaa vilivyo kuelekea mechi za raundi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati...

Timu yapigwa 8-0 ligi ya Zanzibar, Hilika kapiga hat-trick

Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Baada ya mchezo uliopita kuvaa jezi sare na timu ya Mundu, na kuzikosa alama zote 3 pamoja na kupigwa faini...

STORY KUBWA