Friday, September 21, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

PATRICK VIEIRA KOCHA MPYA WA KLABU YA NEW YORK CITY YA NCHINI MAREKANI

Klabu ya New York City inayoshiriki Ligi Kuu ya soka nchini Marekani maarufu kama ‘MLS’ imemteua mchezaji wa zamani wa klabu ya Arsenal na...

TFF YAZIFUNGULIA NJIA AZAM, YANGA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezitakia kila la kheri timu za Azam FC na Yanga SC katika michezo yao ya kimataifa inayoandaliwa...

HANS AONYA WAANDISHI WANAOMCHONGANISHA YANGA

Kocha mkuu wa Yanga amelalamika juu ya waandishi ambao wamekuwa wakiandika vitu ambavyo yeye hajazungumza kwasababu vinamletea matatizo na waajiri wake. Hans amesema hivyo baada...

MSN YAISAMBARATISHA ARSENAL (Video)

Barcelona ambao ndiyo mabingwa watetezi wa kombe la vilabu bingwa Ulaya wamefuzu hatua ya robo fainali ya michuano hiyo baada ya kuichapa Arsenal kwa...

ANGETILE OSIAH: KAMA UTAMADUNI WA KUTOA NA KUPOKEA RUSHWA UMEISHA, BASI TFF IPUNGUZE IDADI...

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa TFF Angetile Osiah amekuja juu na kupinga moja ya agenda ya mkutano mkuu wa TFF ya kutaka kufanya marekebisho ya...

MAN CITY YAIKOMALIA PSG KWAO (Video)

Goli la kusawazisha lililofungwa na Manchester City limewasaidia matajiri wa England kulazimisha sare ya kufungana magoli 2-2 dhidi ya Paris St-Germain kwenye mchezo wa...

RAGE: ADHABU YA UPANGAJI MATOKEO IANZIE KWA ‘MAPAPA’

Ismail Aden Rage amewahi kushika nyadhifa mbalimabli katika soka la bongo, www.shaffihdauda.com imemtafuta ikitaka kujua maoni yake juu ya adhabu iliyotolewa kwa wahusika waliokutwa...

AZAM YATANGULIA FAINALI FA CUP

Azam imekuwa timu ya kwanza kutinga fainali ya kombe la Azam Sports Federation Cup kufuatia ushindi wa penati 5-3 dhidi ya Mwadui FC baada...

SIASIA ACHUKUA MIKOBA YA OLISEH NIGERIA

Chama Cha Soka Nchini Nigeria kimemteua Samson Siasia kuwa kocha wa timu ya taifa ya nchi hiyo baada ya Sunday Oliseh kujiuzuru mapema siku...

VIDEO: KAMPENI KUELEKEA UCHAGUZI KIFA ZAPAMBA MOTO

Kichinjio cha kuwapata viongozi wa nafasi mbalimbali wa chama cha soka wilaya ya Kinondoni kitatumika mwishoni mwa wiki hii, pande zote za wagombea wanazidi...

STORY KUBWA