Tuesday, September 25, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

Michael Olunga wa Kenya anataka uhamisho wake kwenda Ulaya uzingatie hiki kabla ya pesa.

Michael Olunga ni mchezaji wa Gor Mahia ya Kenya ambae hivi sasa yupo kwenye taratibu za kuhamia Sweden kwenye club ya Djurgarde IF. Mchezaji huyu...

TBT : Picha 10 za siku ya kwanza Mbwana Samatta anafanya mazoezi na TP...

Mbwana Ally Samatta kwenye speech yake ya kushukuru alivyorudi Tanzania baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Africa aliishukuru club yake ya TP...

CHEKA,MASHALI, KUMALIZA UBISHI LEO? NI KATIKA PAMBANO LA UBABE VS KISASI

Mabondia Francis Cheka wa Morogoro ambaye ni bingwa wa ngumi za kulipwa duniani wa uzito wa kati (WBF) pamoja na Thomas Mashali wa Dar...

BLATTER, PLATINI, WATUPWA JELA YA SOKA

Rais wa shirikisho la soka duniani Sepp Blatter pamoja na Rais wa UEFA Michel Platini wamefungiwa kwa muda wa miaka nane (8) kujihusisha na...

EXCLUSIVE INTERVIEW: SAMATTA AMTAJA ANAYEMHOFIA TUZO ZA MCHEZAJI BORA AFRIKA

Na Shaffih Dauda, Osaka, Japan Baada ya CUF kutangaza majina ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezji bora wa Afrika mwaka 2015 kwa upande wa wachezaji...

SAMATTA ATINGA FAINALI KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA

Star wa TP Mazembe na Tanzania Mbwana Ally Samatta ameingia kwenye headlines nyingine Afrika baada ya jina lake kutinga kwenye fainali za wachezaji wanaowania...

KAZI IMEANZA, RATIBA YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE HADHARANI…ANGALIA TIMU YAKO ITAKUFA NA NANI

Ratiba ya michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya hatua mtoano (16 bora) tayari imewekwa hadharani nani atakutana na nani katika hatua hiyo ambayo timu...

UNATAKA KUJUA NINI KIMETOKEA KWENYE VYUMBA VYA KUBADILISHIA NGUO BAADA YA TP MAZEMBE KUPOTEZA...

Na Shaffih Dauda, Osaka, Japan December 13 ulipigwa mchezo wa klabu bingwa duniani hatua ya robo fainali kati ya Sanfrecce Hiroshima dhidi ya TP Mazembe...

DAUDA TV: HII HAPA VIDEO YA MAGOLI YA CLUB AMÉRICA VS GUANGZHOU EVERGRANDE FC

Na Shaff Dauda, Osaka, Japan Michuano inayoendelea jijini Osaka ya Club World Cup inazidi kuchukua sura mpya, timu ya Guangzhou Evergrande FC ya China imetinga hatua...

PAULINHO, ROBINHO, SCOLARI, WATAMBA CLUB WORLD CUP JAPAN

Na Shaffih Dauda, Osaka, Japan Guangzhou Evergrande imekata tiketi ya kucheza hatua ya nusu fainali ya michuano ya FIFA Club World Cup 2015 inayoendelea nchini...

STORY KUBWA