Thursday, September 20, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

LIGI YA CHINA TISHIO KWA VILABU VIKUBWA BARANI ULAYA

Kutokana na wimbi la mastaa wengi barani Ulaya kukimbnilia ligi kuu ya nchini China haili hiyo inaonesha kutishia mustakabali wa vilabu vikubwa barani Ulaya...

CAF YAMPA KIKWETE MAJUKUMU MAPYA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanznaia (TFF), Jamal Malinzi amempongeza Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwa kukubali uteuzi wa Shirikisho...

HAPPY BIRTHDAY MBWIGA MBWIGUKE

Kila kitu kinachoonekana kwenye uso wa dunia kina mwanzo wake, kila inapofika February 1 kila mwaka kuna watu wengi sana ambao wanaadhimisha siku yao...

DAR SWIM CLUB YASHINDA MASHINANO YA KUOGELEA TALISS

Na Mwandishi wetu Timu ya Dar Swim Club (DSC) imeshinda mashindano ya kuogelea ya Taliss baada ya kuzipiku klabu nyingine nane zilizoshiriki katika mashindano hayo...

Mbwana Samatta ampa ujumbe huu Thomas Ulimwengu baada ya kujiunga na Genk.

Ulimwengu na Samatta ni washkaji wa karibu sana ambapo walijuana kwa karibu sana kutokana na kucheza pamoja kwenye club ya TP Mazembe. Sasa hivi...

Alichokisema Waziri Nape Nnauye baada ya Mbwana Samatta kusajiliwa Genk

Jana habari kubwa kwa wapenda soka wote ilikua ni kuhusu mtanzania Mbwana Samatta kujiunga na club ya KRC Genk akitokea TP Mazembe. Mbwana...

SAMATTA KUFUATA NYAYO ZA BENTEKE, DE BRUYNE NA COURTOIS? USOME WASIFU WA KLABU YAKE...

Sakata la usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta kwenda kucheza soka barani ulaya hatimaye limemalizika leo hii baada ya kusaini mkataba...

BREAKING NEWS: TFF YAPATWA NA MSIBA

Habari za asubuhi, Ninasikitika kukujulisha kifo cha mjumbe wa kamati ya utendaji na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira mkoa wa Simiyu ndugu Epaphra Swai. Kafariki...

MIEMBENI YAVUNJA REKODI YA JKU  LIGI YA ZANZIBAR

Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Baada ya kucheza michezo 10 bila ya kupoteza hata mchezo mmoja kufuatia kushinda michezo michezo 9 na kwenda sare 1...

AZAM, SIMBA, YANGA, ZACHANJA MBUGA FA CUP

Timu za Azam FC, Simba SC, Yanga zimeungana na timu zingine saba kufuzu kwa hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho...

STORY KUBWA