Thursday, June 21, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

BREAKING NEWS: TFF YAPATWA NA MSIBA

Habari za asubuhi, Ninasikitika kukujulisha kifo cha mjumbe wa kamati ya utendaji na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira mkoa wa Simiyu ndugu Epaphra Swai. Kafariki...

MIEMBENI YAVUNJA REKODI YA JKU  LIGI YA ZANZIBAR

Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Baada ya kucheza michezo 10 bila ya kupoteza hata mchezo mmoja kufuatia kushinda michezo michezo 9 na kwenda sare 1...

AZAM, SIMBA, YANGA, ZACHANJA MBUGA FA CUP

Timu za Azam FC, Simba SC, Yanga zimeungana na timu zingine saba kufuzu kwa hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho...

Michael Olunga wa Kenya anataka uhamisho wake kwenda Ulaya uzingatie hiki kabla ya pesa.

Michael Olunga ni mchezaji wa Gor Mahia ya Kenya ambae hivi sasa yupo kwenye taratibu za kuhamia Sweden kwenye club ya Djurgarde IF. Mchezaji huyu...

TBT : Picha 10 za siku ya kwanza Mbwana Samatta anafanya mazoezi na TP...

Mbwana Ally Samatta kwenye speech yake ya kushukuru alivyorudi Tanzania baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Africa aliishukuru club yake ya TP...

CHEKA,MASHALI, KUMALIZA UBISHI LEO? NI KATIKA PAMBANO LA UBABE VS KISASI

Mabondia Francis Cheka wa Morogoro ambaye ni bingwa wa ngumi za kulipwa duniani wa uzito wa kati (WBF) pamoja na Thomas Mashali wa Dar...

BLATTER, PLATINI, WATUPWA JELA YA SOKA

Rais wa shirikisho la soka duniani Sepp Blatter pamoja na Rais wa UEFA Michel Platini wamefungiwa kwa muda wa miaka nane (8) kujihusisha na...

EXCLUSIVE INTERVIEW: SAMATTA AMTAJA ANAYEMHOFIA TUZO ZA MCHEZAJI BORA AFRIKA

Na Shaffih Dauda, Osaka, Japan Baada ya CUF kutangaza majina ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezji bora wa Afrika mwaka 2015 kwa upande wa wachezaji...

SAMATTA ATINGA FAINALI KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA

Star wa TP Mazembe na Tanzania Mbwana Ally Samatta ameingia kwenye headlines nyingine Afrika baada ya jina lake kutinga kwenye fainali za wachezaji wanaowania...

KAZI IMEANZA, RATIBA YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE HADHARANI…ANGALIA TIMU YAKO ITAKUFA NA NANI

Ratiba ya michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya hatua mtoano (16 bora) tayari imewekwa hadharani nani atakutana na nani katika hatua hiyo ambayo timu...

STORY KUBWA