Friday, October 19, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

Kuelekea Arsenal vs Barca; MSN wana rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi kuanzia hatua...

Msimu wa 2015-16 wa Champions League umefikia hatua ngumu za mtoano - na hatua hizi ndio ambapo wale vijana watatu wa Amerika ya kusini,...

JEROME CHAMPAGNE MKOMBOZI MPYA WA AFRIKA KOMBE LA DUNIA?

Peter Mabere FIFA itakuwa na rais mpya ifikapo tarehe 26 February 2016. Baada ya miaka 18 ya utawala wa Sepp Blatter ambao umegubikwa na utata...

TFF YASAINI DILI KUSAIDIA SOKA LA WANAWAKE

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kwa kushirikiana na Taasisi binafasi ya Karibu Tanzania Association (KTA) kwa pamoja wamezindua programu ya maendeleo ya soka kwa wanawake...

Juve vs Bayern: Guardiola na Jaribio la kuondoka na Heshima ya kushinda Champions League

Pep Guardiola ana mtihani mzito wa kuendelea kuipa uhai ndoto yake ya kumaliza utawala wake na Bayern Munich kwa kushinda ubingwa wa ulaya. Leo Jumanne,...

Matokeo ya FA Cup – Na Ratiba ya Hatua Raundi ya 6 

Safari ya Guus Hiddink kuiongoza Chelsea kwa mara ya pili kutwaa kombe la FA Cup inazidi kupata mwanga baada ya jioni ya leo kuiadhibu...

SAMATTA ANG’ARA MECHI YA TATU GENK

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanazania Mbwana Samatta ajana aliingia kucheza mechi yake ya tatu tangu ajiunge na klabu ya Genk ya Ubelgiji, Samatta aliingia...

Thomas Ulimwengu aweka rekodi mpya kwa wachezaji wa Tanzania.

TP Mazembe imechukua kwa mara ya tatu African Super Cup baada ya kuifunga Tunisian Red Devils "Etoile Du Sahel" kwa magoli 2-1. TP Mazembe imepata...

TP MAZEMBE KANISANI KUELEKEA SUPER CUP, ULIMWENGU KAMA KAWA

Kesho February 20 utapigwa mchezo wa Super Cup kati ya TP Mazembe dhidi ya Etoile du Sahel ya Tunisia, unapolitaja jina la TP Mazembe...

HAPPY BIRTHDAY ‘LEGEND’ PETER MANYIKA

Kila ifikapo February 19 ya kila mwaka golikipa wa zamani aliyetamba akiwa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania Peter Manyika anaadhimisha siku yake...

Takwimu : Luis Van Gaal ndiye kocha mbovu wa Manchester United tangu miaka 35...

Mechi ya jana usiku imemchafua kocha LVG kwenye historia yake ya kufundisha mashetani wekundu. Kwa muda wa miaka 35 club ya Manchester haijawahi kuwa...

STORY KUBWA