Wednesday, June 20, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

BLACK SAILORS YAZIDI KUWEKA HISTORIA MPYA ZENJ

Na Abubakar Kisandu, Zanzibar Timu ya Black Sailors yenye maskani yake Magomeni Jitini ambayo inashiriki ligi kuu soka Zanzibar Kanda ya Unguja kwa sasa ndio...

YANGA IMEKUWA TIMU YA KWANZA KUTINGA ROBO FAINALI FA CUP

Timu ya Yanga imekuwa ya kwanza kufuzu kucheza robo fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cu (ASFC) baada ya kuichapa JKT Mlale ya...

FA CUP: YANGA KUSHUSHA WANAJESHI WOTE VS JKT MLALE

Na Baraka Mbolembole Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, timu ya Yanga SC Leo Jumatano wataikaribisha JKT Mlale ya Ruvuma katika mchezo wa hatua...

Kuelekea Arsenal vs Barca; MSN wana rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi kuanzia hatua...

Msimu wa 2015-16 wa Champions League umefikia hatua ngumu za mtoano - na hatua hizi ndio ambapo wale vijana watatu wa Amerika ya kusini,...

JEROME CHAMPAGNE MKOMBOZI MPYA WA AFRIKA KOMBE LA DUNIA?

Peter Mabere FIFA itakuwa na rais mpya ifikapo tarehe 26 February 2016. Baada ya miaka 18 ya utawala wa Sepp Blatter ambao umegubikwa na utata...

TFF YASAINI DILI KUSAIDIA SOKA LA WANAWAKE

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kwa kushirikiana na Taasisi binafasi ya Karibu Tanzania Association (KTA) kwa pamoja wamezindua programu ya maendeleo ya soka kwa wanawake...

Juve vs Bayern: Guardiola na Jaribio la kuondoka na Heshima ya kushinda Champions League

Pep Guardiola ana mtihani mzito wa kuendelea kuipa uhai ndoto yake ya kumaliza utawala wake na Bayern Munich kwa kushinda ubingwa wa ulaya. Leo Jumanne,...

Matokeo ya FA Cup – Na Ratiba ya Hatua Raundi ya 6 

Safari ya Guus Hiddink kuiongoza Chelsea kwa mara ya pili kutwaa kombe la FA Cup inazidi kupata mwanga baada ya jioni ya leo kuiadhibu...

SAMATTA ANG’ARA MECHI YA TATU GENK

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanazania Mbwana Samatta ajana aliingia kucheza mechi yake ya tatu tangu ajiunge na klabu ya Genk ya Ubelgiji, Samatta aliingia...

Thomas Ulimwengu aweka rekodi mpya kwa wachezaji wa Tanzania.

TP Mazembe imechukua kwa mara ya tatu African Super Cup baada ya kuifunga Tunisian Red Devils "Etoile Du Sahel" kwa magoli 2-1. TP Mazembe imepata...

STORY KUBWA