NYINGINE

Home Ligi NYINGINE Page 7

Waambieni Simba Yanga Ndio Mabingwa

Kesho tukielekea kwenye mechi nzuri kati ya Simba Vs Yanga ni wakati mzuri kuweka mbele msatari wa msanii Young Killer kwenye ngoma yake mpya...

Jicho la 3: Simba SC v Yanga SC, balaa likukute, usilifuate…

Na Baraka Mbolembole GEORGE LWANDAMINA anapaswa kufanya mabadiliko ya wachezaji kutoka katika kikosi 'kilichosambaratishwa' 4-0 na Azam FC katika mchezo wa mwisho wa hatua ya...

Timu pekee ya Zanzibar iliyofuzu nusu fainali inakutana na mziki wa Azam

Taifa Jang'ombe ndio timu pekee kutoka Zanzibar ambayo imefuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2017. Taifa imefuzu baada ya ushindi...

‘Mambo mazuri hayataki haraka – Mavugo’

Mshambuliaji raia wa Burundi Laudit Mavugo amesema amefurahi kuifungia timu yake magoli mawili kwa sababu ni muda mrefu hajafunga. Siku za hivi karibuni Mavugo amekuwa...

Hakuna tunachotaka kwa Yanga zaidi ya Matokeo – Mayanja

Kocha msaidizi wa timu ya Simba Jackson Mayanja amesema hakuna kitu kingine wanachohitaji kwenye mechi yao ya nusu fainali zaidi ya matokeo ya ushindi....

YAMETIMIA: Ni Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017

Hatimaye yametimia, ni nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2017 itakayozikutanisha Simba na Yanga kutafuta mshindi atakaefuzu kwenda fainali ya michuano hiyo inayozidi kushika kasi...

Kipigo kutoka Azam ni darasa tosha – Mwambusi

Kipigo cha mabao 4-0 walichotoa Azam kwa Yanga kimegeuka darasa tosha kwa upabde wa Yanga kwamba hawatakiwi kudharau mechi hata kama wamefuzu kwa hatua...

Majibu ya Sure Boy kuhusu kiwango cha Azam msimu huu

Ukiangalia kikosi cha Azam kwa ujumla bado hakifanyi vizuri kuanzia kwenye mechi za ligi kuu Tanzania bara pamoja na mechi mbili za kwanza za...

Azam imeiungia Yanga kifurushi cha 4G

January 7, 2017 Yanga imejikuta ikichezea kisago cha maana kutoka Azam FC katika mchezo wa mwisho wa Kundi B kwenye michuano ya Mapinduzi Cup...

INASIKITISHA: Idadi ya makocha wa Kiafrika AFCON 2017

Baada ya Steven Keshi (Mungu amrehemu) kuiongoza Nigeria kutwaa ubingwa Africa, wengi tuliamini labda makocha wa kiafrika wangeanza kuaminiwa lakini bado mambo hayajabadilika kuelekea...

Simba hata ukiwatupa kwenye Volley Ball wamo

Watu wengi wamezoea kuwaona wachezaji wa Simba wakisakata soka uwanjani, lakini kumbe wapo baadhi yao wako vizuri kwenye michezo mingine pia. December  6 wachezaji wa...

Majibu ya Mayanja kama Simba itakutana na Yanga au Azam Mapinduzi Cup 2017

Simba, Yanga au Azam huenda zikakutana kwenye hatua ya nusu fainali ya kombe la Mapinduzi kutokana na misimamo ya makundi yao. Simba inaongoza Kundi A...

Mfungaji wa hat-trick ya kwanza Mapinduzi anaisubiri Simba

Abdi-samad Kassim Ali ni mchezaji wa kwanza kufunga hat-trick kwenye mashindano ya 11 ya Mapinduzi 2017, wakati Jang'ombe Boys ikipata ushindi wa magoli 3-1...

Watoza ushuru wa Uganda wameikwamisha Simba kufikisha pointi 9 Mapinduzi Cup

Simba imeshindwa kupata ushindi dhidi ya URA ambao ni mabingwa watetezi wa kombe la Mapinduzi baada ya kutoka suluhu katika mchezo wa tatu wa...

Jang’ombe Boys inafata nyayo za Simba

Mchezo wa Kundi A kati ya Jang'ombe Boys dhidi ya KVZ umemalizika kwa vijana wa Jang'ombe Boys kupata ushindi wao wa pili kwenye michuano...

Ferej amewapa mbinu viongozi wa ZFA za kukuza soka la Zanzibar

Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Aliyekuwa Rais wa chama cha Soka Visiwani Zanzibar (ZFA) Ali Ferej Tamim amewataka viongozi wa sasa wa chama hicho kuweka...

Man of the match Azam vs Jamhuri ameapa kufa na Zimamoto 

Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Mlinda mlango wa timu ya Jamhuri Ali Suleiman Mrisho baada ya kuisaidia timu yake kupata suluhu kwenye mchezo kati ya...

Jicho la 3: Saad Kawemba ameshindwa, Hans van der Pluijm ndiye mtu sahihi wa kuinyanyua...

Na Baraka Mbolembole Awali sikuwa shabiki wa Hans van der Pluijm lakini miaka yake miwili na nusu kama kocha wa Yanga SC nitabaki kuamini ni...

VIDEO: Mzamiru Yassin wa Simba alivyosherekea Birthday yake

Mzamiru Yassin ni mmoja kati ya wachezaji muhimu sana kwa sasa katika kikosi cha timu ya Simba ambapo amekua akiisaidia timu kwa kufunga magoli...

Babi bado yupoyupo sana…

Kama ulikuwa na mawazo kwamba Abdi Kasim Babi astaafu soka basi umechemka, jamaa bado yupoyupo kwenye sana kwenye soka, hii ni baada ya kueleza...
472,582FansLike
2FollowersFollow
67,801FollowersFollow