Tuesday, September 25, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

Thomas Ulimwengu aweka rekodi mpya kwa wachezaji wa Tanzania.

TP Mazembe imechukua kwa mara ya tatu African Super Cup baada ya kuifunga Tunisian Red Devils "Etoile Du Sahel" kwa magoli 2-1. TP Mazembe imepata...

Takwimu : Luis Van Gaal ndiye kocha mbovu wa Manchester United tangu miaka 35...

Mechi ya jana usiku imemchafua kocha LVG kwenye historia yake ya kufundisha mashetani wekundu. Kwa muda wa miaka 35 club ya Manchester haijawahi kuwa...

BWANA MDOGO ASHINDA URAIS CHAMA CHA SOKA KENYA

Nick Mwendwa ameibuka mshindi kwenye kinyang’anyiro cha urais wa shirikisho la soka la nchini Kenya (Football Kenya Federation-FKF). Mwendwa amembwaga gwiji ambaye ni rais...

VIDEO: SAMATTA ANAVYOISHI MAISHA MAPYA UBELGIJI

Mbwana Samatta kwa sasa maisha yake ya soka yamebadilika kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na alivyokuwa TP Mazembe pale nchini Congo DR. Kwa sasa...

JUMA LUIZIO: SIJUTII KUTOCHEZA SIMBA NA YANGA, MIPANGO YANGU NI KUCHEZA ULAYA

Juma Luizio ni striker wa kitanzania anayecheza soka la kulipwa kwenye klabu ya Zesco United ya nchini Zambia ambayo inashiriki ligi kuu ya nchini...

MATOLA, SALVATORY, ITAPENDEZA SANA, ILA UPANDE ITAUMIZA SANA

Na Baraka Mbolembole Upande itapendeza, lakini upande mwingine itakuwa ni pigo kama itatokea. Unamkumbuka, Salvatory Edward 'Doctor' binafsi sikumfaidi sana ila katika moja ya mabao...

SAMATTA: VIONGOZI WAMENIAMBIA NIMECHEZA VIZURI KWA MUDA MFUPI

Mbwana Samatta kwa sasa maisha yake ya soka yamebadilika kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na alivyokuwa TP Mazembe pale nchini Congo DR. Kwa sasa...

RONALDO AFIKISHA MIAKA 31, AUNGANA NA NEYMAR NA MASTAA KIBAO WA SOKA KUADHIMISHA BIRTHDAY

Kama ulikuwa hujui basi tunaweza kusema leo ni birthday ya wanasoka kutokana na mastaa kibao wa mchezo huo kusherekea siku zao za kuzaliwa February...

KLABU YA CHINA YANASA SAINI YA MBRAZIL ANAYEWANIWA NA LIVERPOOL

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Shakhtar Donesk ya Ukraine Mbrazil Alex Teixeira ambaye alikuwa anawindwa na Liverpool katika dirisha dogo la mwezi Januari sasa...

Alichokisema Waziri Nape Nnauye baada ya Mbwana Samatta kusajiliwa Genk

Jana habari kubwa kwa wapenda soka wote ilikua ni kuhusu mtanzania Mbwana Samatta kujiunga na club ya KRC Genk akitokea TP Mazembe. Mbwana...

STORY KUBWA