NYINGINE

Home Ligi NYINGINE Page 5

Dar yachekelea ‘utitiri’ wa timu VPL

Uongozi wa chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA ) chini ya mwenyekiti wake Almasi Kasongo unasherekea timu zake kuendelea kupanda ligi...

KMC kufanyiwa party kusherekea ligi kuu

Baada ya kusubiri kwa takribani miaka miwili hatimaye timu ya manispaa ya kinondoni kmc leo imefanikiwa kupanda ligi kuu tanzania bara baada ya kupata...

Chuji kaweka mezani faili la Coastal kupanda daraja

Kiungo mkomgwe wa soka nchini Athumani Idd 'Chuji'  amesema mechi za ligi daraja la kwanza ni ngumu na kuzifananisha na fainali. Chuji ameisaidia Coastal...

Costal Union imerejea VPL, kocha kaweka historia baada ya miaka 30

Hatimaye Costal Union ya Tanga imefanikiwa kurejea ligi kuu Tanzania bara kwa ajili ya msimu ujao (2018/19) baada ya kupata matokeo ya ushindi wa...

Wababe wa Simba waishia mikononi mwa Singida Utd

Disemba 22, 2017 Simba ikiwa bingwa mtetezi wa kombe la shirikisho Tanzania bara ilivuliwa ubingwa na Green Warriors kwa kufungwa kwa mikwaju ya penati...

Captain Gardner ameguswa na habari za Juma Nyoso

Tukio la juma Nyoso kumpiga shabiki baada ya mchezo wa Kagera Sugar dhidi ya Simba bado limeendelea kuibua mijadala mbalimbali kitaa, wapo ambao wanamlaumu...

Yanga yalalamika Simba inabebwa

Klabu ya Yanga kupitia kwa Katibu Mkuu wake wamelalamikia kutokuwepo na usawa kwa Simba na yanga katika matumizi ya viwanja vya Uhuru na ule...

Post za mastaa baada ya Simba kuifunga Yanga 2-1

Hakuna ubishi kwamba mechi ya Simba na Yanga inawaleta pamoja watu wa kada mbalimbali bila kujali vyama vyao vya siasa, dini, kabila wala rangi...

Mambo 8 usiyoyajua kuhusu Himid Mao ‘Ninja’ wa Azam FC

Na Zainabu Rajabu MAISHA ya mpira huenda kasi sana, dakika 90 pekee huweza kumfanya mchezaji awe mfalme au mtumwa katika timu. Shangwe na nderemo zinazozizima...

Hat-trick yampaisha Hilika Zanzabar

Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’,  Zanzibar Mshambuliaji wa Zimamoto Ibrahim Hamad Hilika jana amekuwa kinara kwa kucheka na nyavu baada ya kupiga Hat-trick timu yake iliposhinda...

Timu yapigwa 8-0 ligi ya Zanzibar, Hilika kapiga hat-trick

Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Baada ya mchezo uliopita kuvaa jezi sare na timu ya Mundu, na kuzikosa alama zote 3 pamoja na kupigwa faini...

Mchezaji wa zamani wa Yanga na Stars yupo hoi kitandani…

Tangu jana jioni kumekuwa na taarifa sambamba na picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kueleza hali ya kiafya ya Godfrey Bonny mchezaji wa zamani...

Siri ya Oscar Joshua kucheza nafasi tofauti chini ya Lwandamina

Inawezekana na wewe ni miongoni mwa watu wanaojiuliza maswali kwa nini benchi la ufundi la Yanga limekuwa likimpanga Oscar Joshua katika nafasi tofauti na...

Kampuni mpya ya betting imezinduliwa Dar

KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya Princess Bet imezindua duka jipya lililopo Sinza Afrikasana kwa ajili ya kutoa huduma za kisasa zaidi za kubeti...

Ngasa amezungumzia kuhusu kutokea benchi Mbeya City

Na Zainabu Rajabu BAADA ya kutoka sare dhidi ya Azam, mshambuliaji wa Mbeya City FC Mrisho Khalfan Ngasa amesema mchezo ulikuwa mgumu kutoka na wapinzani...

Baada ya miaka 11, Man Utd yarudi kileleni kwenye listi ya utajiri

Baada ya miaka 11, hatimaye Klabu ya Manchester United imerudi kileleni mwa listi ya vilabu tajiri duniani. United imepata mapato makubwa kuliko timu yoyote...

Official: Okwi avunja mkataba na Sonderjyske Fodbold, Kurejea Msimbazi?

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda,  Emmanuel Okwi ameachana rasmi na klabu ya  Sonderjyske Fodbold ya Denmark kwa makubaliano ya pande zote kuamua kusitisha mkataba.  Kwa...

Klabu ya Oman imemnasa striker wa Simba

Habari inayo-trend kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu kuondoka kwa mshambuliaji wa Simba Frederick Blagnon ambaye anaelekea kwenye klabu ya Oman Club...

Mtanzania kapata ushindi kwenye Marathon India

Mtanzania Alphonce Simbu, amefanikiwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kwenye mbio ndefu za Mumbai Marathon ya mwaka huu huku akiwapiku Mkenya Joshua Kipkorir pamoja...

Twite wa Yanga amesajiliwa timu moja na mchezaji wa Simba

Kiraka wa zamani wa Yanga Mbuyu Twite pamoja na kiungo wa zamani wa Azam FC Michael Balou wamesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu...
471,192FansLike
1,420,891FollowersFollow
65,997FollowersFollow

Instagram