Saturday, September 22, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

YANGA YAFANYA KWELI UGENINI, YAITUNGUA APR KWAO

Timu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya APR FC ya Rwanda kwenye mchezo wa kwanza wa raundi ya kwanza...

MAUMIVU YA ‘ANKLE’ YAMUWEKA NJE BEKI WA VPL

Na Baraka Mbolembole MLINZI wa kulia wa Toto Africans ya Mwanza, Salum Chuku ameshindwa kufanya mazoezi takribani wiki moja sasa kufuatia kupata majeraha katika mguu...

VIDEO: Goli la Simba lililoipa Simba uongozi wa Kundi A Mapinduzi Cup 2017

January 3 Simba ilijiweka kwenye nafasi nzuri baada ya kupata ushindi wake wa pili kwenye michuano ya Mapinduzi Cup kwa kuifunga KVZ kwa goli...

Alichokisema Mayanja baada ya Simba kutua Z’bar

Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba wajitokeze kwa wingi kuiunga mkono timu yao kwa ajili ya kuendeleza moto...

Style ya kushangilia yampa dili la tangazo Antoine Griezmann

Kwa wale ambao wanamfatilia Antoine Griezmann wanajua jinsi anavyoshangilia magoli yake pale anapofunga. Griezmann huwa anacheza kama Drake na nyimbo ya Hotline Bling. Style...

Vilabu vimepewa darasa kujiendesha kwa faida

Semina ya siku moja yenye lengo la kuvijengea uwezo vilabu vinavyoshiriki ligi kuu, ligi daraja la kwanza na la pili imefanyika leo na kuhudhuriwa...

‘Hatuwezi kushinda ubingwa, lakini si rahisi kutabiri bingwa VPL msimu  huu-Vicent Barnabas’

Na Baraka Mbolembole Kiungo  mshambulizi mwenye uwezo wa kuchezanafasi ya beki  namba 3,Vicent  Barnabas    amekiri ni  ngumu kwa kikosi  chao  cha  Mtibwa  Sugar  kuwaengua   Simba SC katika kilele  cha msimamo   badaa  ya kuachwa  kwa   pointi  14, lakini amesisitiza   wataendelea kucheza michezo yao kwa...

YULE TRAFFIC MDAU WA YANGA APIGWA RISASI

Taarifa imenifikiakwamba, yule traffic ambaye ni mdau mkubwa wa michezo na klabu ya Yanga Sgt Ally Kinyogori amepigwa risasi jana usiku akiwa nyumbani kwake. Taarifa...

MCHEZAJI MZEE ZAIDI DUNIANI AWEKA REKODI MPYA YA UFUNGAJI

Na Naseem Kajuna Nywele zake zimebadilika rangj na miaka imechukua miguu yake lakini akiwa na miaka 49 Kazoyushi Miura, Jumapili alionesha kwamba bado hayukotayari kustaafu...

Taifa Jangombe imefanikiwa kupata ushindi kwenye uzinduzi wa Mapinduzi Cup

Seif Hassan ‘Banda’ amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga bao kwenye michuano ya Mapinduzi Cup msimu huu baada ya kuifungia timu yake bao pekee la...

STORY KUBWA