NYINGINE

Home Ligi NYINGINE Page 4

Simba imerudi anga za kimataifa

Simba wamerejea kwenye anga za kimataifa kwa ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Gendarmerie National ya Djibouti katika mchezo wa Caf Confederation Cup. Wekundu wa...

Tumeziona timu zilizopanda VPL msimu ujao, bingwa nani? Hii ndiyo njia mbadala

Na Baraka Mbolembole TIMU Sita ambazo zimefanikiwa kupanda ligi kuu Tanzania Bara msimu ujao kutoka ligi daraja la kwanza tayari zimefahamika baada ya kukamilika kwa...

TFF imemfungia kocha miaka 5 kujihusisha na soka

Kamati ya Maadili ya TFF iliyokutana Februari 3, 2018 na Februari 17, 2018, katika ofisi za TFF Karume, pamoja na mambo mengine yaliyojadiliwa pia...

Video-“Tulifikiri Simba wangetufunga 9 au 10”-kocha Gendarmerie

Baada Gendarmerie kupoteza mchezo wao kwa magoli 4-0 dhidi ya Simba, kocha mkuu wa timu hiyo Mvuyekure Issa amesema mawazo na fikra zao kabla...

Full ratiba ya Mapinduzi Cup 2017 

Na Abubakar Khatib 'Kisandu', Zanzibar Timu zitakazoshiriki kombe la Mapinduzi msimu huu zinatarajiwa kupata asilimia kumi ya mapato ya uwanjani baada ya kulipiwa gharama zote...

TFF imetangaza kumfungia Juma Nyoso

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia  Juma Nyoso wa Kagera Sugar kwa kosa la kupiga shabiki baada...

Rage navyomkumbuka mchezaji wa Simba aliyefariki

Kiungo wa zamani wa Sunderland na baadaye Simba Arthur Mambeta amefariki dunia jana Alhamisi Februari 28, 2018. Mambeta si jina geni katika ramani ya...

Ndondo Cup 2018 ‘washtue wana!’

Msimu wa Ndondo Cup 2018 umezinduliwa rasmi leo Machi 9, 2018 Dar es Salaam na kamati ya mashindano hayo chini ya mwenyekiti wake Shaffih...

Infantino ametaja sababu FIFA kuchagua kufanya mkutano Tanzania

Inawezekana ujio wa Rais wa FIFA gianni ifantino nchini pamoja na wajumbe mbalimbali wa shirikisho hilo la soka duniani umestua watu wengi ambao wanajiuliza...

Rufaa ya Wambura imesheheni sababu 5

Wakili anaemtetea Michael Wambura, Emanuel Muga amesema kwamba, wao wameamua kukata rufaa ili kutafuta haki ya mteja wake. Muga amesema katika rufaa hiyo imesheheni masuala...

Kombe la Ndondo Super Cup limebaki Dar

Msosi FC wamefanikiwa kuwa mabingwa wa kwanza wa michuano ya Ndondo Super Cup 2018 baada ya kuendeleza ubabe dhidi ya Goms United kwa kuifunga...

Wasauzi kuhukumu Simba vs Al Masry

Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) limewapanga waamuzi kutoka nchini Afrika Kusini kuchezesha mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika wakati Simba itakapocheza...

RC Mwanza kuwa wa kwanza kujisajili Rock City Marathon

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. John Mongella anatarajiwa kupamba uzinduzi wa usajili wa mbio za Rock City Marathon msimu wa tisa unaotarajiwa kuanza...

Manara hataki Yanga wazomewe

Uongozi wa klabu ya Simba umewaomba mashabiki wake kutowazomea wachezaji wa Yanga watakapokuwa wanaiwakilisha Tanzania kwenye mechi ya kombe la vilabu bingwa Afrika Jumamosi...

Kocha aliyefungiwa miaka 5 amekata rufaa

Baada ya kuhukumiwa miaka mitano kutojihisha na masuala ya soka, kocha Joseph Kanakamfumu ameamua kukata rufaa juu ya hukumu hiyo iliyotolewa na kamati ya...

“Ukicheza Simba, Yanga, ukaondoka wanasahau bado ni mchezaji mzuri”-Humud

Watu wengi wamekuwa wakitafsiri mchezaji aliyefanikiwa kucheza ligi kuu anaporudi ligi daraja la kwanza biashara yake inakuwa imekwisha, lakini kiungo mkongwe Abdulhalim Humud 'Gaucho'...

MAMBO 10 AMBAYO YANAWEZA KUTOKEA CHELSEA MSIMU UJAO

Na Athumani Adam Takribani mechi 9 zimesalia, kumalizika kwa msimu wa ligi kuu England 2015/2016. Bingwa mtetezi wa ligi hiyo Chelsea tayari wameutema ubingwa wa...

Dar yachekelea ‘utitiri’ wa timu VPL

Uongozi wa chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA ) chini ya mwenyekiti wake Almasi Kasongo unasherekea timu zake kuendelea kupanda ligi...

Waziri Mkuu Majaliwa Kassim aunga mkono FIFA mapambano ya rushwa

Rais wa FIFA Gianni Infantino akiwa Tanzania kwa ajili ya kongamano maalumu la kutathmini maendeleo ya mpira wa miguu (The Executive Football Summit) alipata...

Hat-trick yampaisha Hilika Zanzabar

Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’,  Zanzibar Mshambuliaji wa Zimamoto Ibrahim Hamad Hilika jana amekuwa kinara kwa kucheka na nyavu baada ya kupiga Hat-trick timu yake iliposhinda...
472,554FansLike
1,438,086FollowersFollow
67,739FollowersFollow