NYINGINE

Home Ligi NYINGINE Page 4

Mwambieni Chirwa hajafikia thamani iliyomleta Yanga, Niyonzima ni mfano kuhusu anachowaza

Na Baraka Mbolembole OBREY Chirwa amefunga goli lake la 11 msimu huu katika ligi kuu Tanzania Bara (goli moja pungufu ya yale aliyofunga katika msimu...

“Bocco atasafiri hata kama hatocheza”-Simba

Nahodha wa Simba John Bocco anatarajia kusafiri na timu kwenda Djibouti kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Caf Champions League dhidi ya Gendarmerie...

Viongozi Toto Africans wagawana magodoro ya timu

Baada ya Toto Africans ya Mwanza kushuka daraja kutoka ligi daraja la kwanza hadi ligi daraja la pili, baadhi ya viongozi wa klabu hiyo...

Goms United yasimamisha mabingwa Ndondo Super Cup

Goms United imefanikiwa kufuzu fainali ya Ndondo Super Cup baada ya kuifunga Itezi 3-2 katika mchezo  huo uliochezwa uwaja wa Bandari, Temeke, Dar es...

Yanga imepigwa faini

Klabu za Lipuli na Yanga kila moja imepigwa faini ya Tsh. 500,000 (laki tano) kwa kutumia milango isiyo rasmi kuingia uwanjani, kitendo ambacho ni...

TFF imetangaza kumfungia Juma Nyoso

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia  Juma Nyoso wa Kagera Sugar kwa kosa la kupiga shabiki baada...

Yanga nawakumbusha ‘kushindwa kujiandaa ni kujiandaa kushindwa’

Na Baraka Mbolembole MABINGWA wa soka Tanzania bara, Yanga SC watashuka tena dimbani Jumatano hii kuwavaa Majimaji FC katika mchezo wa raundi ya 18 ligi...

Ushindi finyu wa Yanga kimataifa, Shaffih Dauda ameona tatizo

Weekend iliyopita vilabu viwili vya Tanzania (Yanga na Simba) vilicheza mechi zao za kwanza za mashindano ya kimataifa msimu huu vikiwa kwenye uwanja wa...

Video-“Tulifikiri Simba wangetufunga 9 au 10”-kocha Gendarmerie

Baada Gendarmerie kupoteza mchezo wao kwa magoli 4-0 dhidi ya Simba, kocha mkuu wa timu hiyo Mvuyekure Issa amesema mawazo na fikra zao kabla...

Video-Kocha Simba kawajibu wanaobeza 4G kimataifa

Baada ya Simba kushinda kwa magoli 4-0 kwenye mcheO wao wa kwanza wa kimataifa dhidi ya Gendarmerie, mashabiki wa wekundu wa Msimbazi wanasema Simba...

Simba imerudi anga za kimataifa

Simba wamerejea kwenye anga za kimataifa kwa ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Gendarmerie National ya Djibouti katika mchezo wa Caf Confederation Cup. Wekundu wa...

Bocco amewaita mashabiki uwanja wa Taifa

Mshambulaji wa Simba John Bocco amewaomba mashabiki wa timu  kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kuishuhudia timu yao ikicheza kwa mara ya kwanza mashindano...

Simba kuna ‘presha’ kubwa”-Aishi Manula

Golikipa namba moja wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Aishi Manula ameweka wazi tofauti iliyopo kati ya timu mbili ambazo...

Baada ya kupanda ligi kuu, KCM inarudishwa kwa wananchi Kinondoni

Baada ya kupanda daraja wiki moja iliyopita, timu ya KMC FC inayomilikiwa na Manispaa ya Kinondoni itatambulishwa rasmi kwa wanachi wa wila hiyo na...

Manara hataki Yanga wazomewe

Uongozi wa klabu ya Simba umewaomba mashabiki wake kutowazomea wachezaji wa Yanga watakapokuwa wanaiwakilisha Tanzania kwenye mechi ya kombe la vilabu bingwa Afrika Jumamosi...

Niyonzima kufanyiwa upasuaji India

Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima anatarajia kwenda nchini India kufanyiwa upasuaji mdogo kwenye mguu unaomsumbua na kumfanya asionekane uwanjani siku za karibuni kutokana na...

Tumeziona timu zilizopanda VPL msimu ujao, bingwa nani? Hii ndiyo njia mbadala

Na Baraka Mbolembole TIMU Sita ambazo zimefanikiwa kupanda ligi kuu Tanzania Bara msimu ujao kutoka ligi daraja la kwanza tayari zimefahamika baada ya kukamilika kwa...

African Lyon yakamilisha hesabu ligi daraja la kwanza

African Lyon imekamilisha idadi ya timu sita zilizopanda daraja kucheza ligi kuu Tanzania bara msimu ujao baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi...

Mdogomdogo Morocco wanatoboa Afrika

Michuano inayoshirikisha wachezaji wanao cheza ligi za nfani-Afrika (CHAN) imemalizika jana Februari 4, 2018 huku wenyeji Morocco wakiibuka mabingwa baada ya ushindi wa magoli...

“Ukicheza Simba, Yanga, ukaondoka wanasahau bado ni mchezaji mzuri”-Humud

Watu wengi wamekuwa wakitafsiri mchezaji aliyefanikiwa kucheza ligi kuu anaporudi ligi daraja la kwanza biashara yake inakuwa imekwisha, lakini kiungo mkongwe Abdulhalim Humud 'Gaucho'...
471,111FansLike
1,415,028FollowersFollow
65,682FollowersFollow

Instagram