Tuesday, September 18, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

Ronaldo amemtupa Messi Ballon d’Or 2016

Star wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya heshima ya Ballon d'Or kwa mara ya nne. Ronaldo,31, aliisaidia Madrid kushinda Champions League msimu uliopita na alifunga...

Tambwe, Msuva wanaweza kufikia rekodi ya Ngassa, Bocco, Kipre?

Na Baraka Mbolembole KATIKA misimu 6 iliyopita ya Ligi kuu Tanzania Bara, Azam FC imetoa washindi watatu katika tuzo ya mfungaji bora VPL. Mrisho Ngassa...

ZITTO NA ‘MCHUMBAAKE’ WALIVYOISHUHUDIA STARS IKICHAPWA NA MISRI TAIFA

Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini Mh. Zitto Kabwe aliungana na maelfu ya watanzania waliojitokeza uwanja wa taifa kuipa nguvu timu ya taifa ya...

Hazard na Jorginho wazidi kung’ara, Rooney kuweka rekodi

24 - Wilfried Zaha ndiye mfungaji bora wa muda wote wa Crystal Palace kwenye michuano ya ligi kuu. Mpaka sasa ana mabao 24, huku...

LEO KATIKA HISTORIA: MATUKIO MANNE YALIYOJIRI JUNE 7 ENZI HIZO

Kuna matukio mengi sana yakukumbukwa kila siku kwenye ulimwengu wa michezo na hii nikutokna na rekodi na matukio mbalimbali yaliyopita siku za nyuma na...

TOP 7 YA WACHEZAJI WALIOFANYA MAKUBWA KWENYE SOKA WAKIWA NA JEZI NAMBA 7 MGONGONI

Suala la wachezaji kuvaa jezi namba flani mgongoni mara nyingi huwa linaongozwa na imani, hii hapa ni list ya wachezaji saba ambao wamewahi kufanya...

MAKONDA AFAFANUA POST YAKE KUHUSU YANGA ILIYOZUA UTATA INSTAGRAM

Siku za hivi karibuni, habari ya town katika michezo ni uamuzi wa wanachama wa Yanga kuamua kuikodisha timu yao pamoja na nembo kwa Yusuf...

Waziri Nchemba anakaba hadi mechi za kirafiki!

Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba, ameonekana tena kwenye mchezo wa kirafiki wa Yanga wakati wanaikabili JKU kutoka visiwani Zanzibar. Mh....

Roy Keane : Kama ningekua nacheza Chelsea na Hazard, ningempa kipondo.

Star wa zamani wa EPL Roy Keane ambae alipata mafanikio na club ya Manchester United, havutiwi kabisa na attitude ambayo Hazard anaionyesha ndani ya...

LIVERPOOL YAISHANGAZA DUNIA KWA MARA NYINGINE (Video)

‘Majogoo wa jiji’ Liverpool wameushangaza ulimwengu kwa mara nyingine tena baada ya kutoka nyuma ya Borussia Dortmund na kufanikiwa kushinda game kwenye uwanja wa...

STORY KUBWA