NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

Yanga imetupa morali – John Bocco

Nahodha wa kikosi cha Azam FC John Bocco amesema ushindi wa mabao 4-0 umewapa morali kuelekea mchezo wao wa nusu fainali ya mapinduzi Cup...

Baada ya kuifunga Yanga 4-0 huu ndio mpango wa Azam kuelekea nusu fainali Mapinduzi...

Baada ya kuiongoza timu yake kupata ushindi wa kihistoria dhidi ya Yanga, kocha wa muda wa Azam Idd Cheche anasema kikosi chake kipo tayari...

Waambieni Simba Yanga Ndio Mabingwa

Kesho tukielekea kwenye mechi nzuri kati ya Simba Vs Yanga ni wakati mzuri kuweka mbele msatari wa msanii Young Killer kwenye ngoma yake mpya...

Jicho la 3: Simba SC v Yanga SC, balaa likukute, usilifuate…

Na Baraka Mbolembole GEORGE LWANDAMINA anapaswa kufanya mabadiliko ya wachezaji kutoka katika kikosi 'kilichosambaratishwa' 4-0 na Azam FC katika mchezo wa mwisho wa hatua ya...

Timu pekee ya Zanzibar iliyofuzu nusu fainali inakutana na mziki wa Azam

Taifa Jang'ombe ndio timu pekee kutoka Zanzibar ambayo imefuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2017. Taifa imefuzu baada ya ushindi...

‘Mambo mazuri hayataki haraka – Mavugo’

Mshambuliaji raia wa Burundi Laudit Mavugo amesema amefurahi kuifungia timu yake magoli mawili kwa sababu ni muda mrefu hajafunga. Siku za hivi karibuni Mavugo amekuwa...

Hakuna tunachotaka kwa Yanga zaidi ya Matokeo – Mayanja

Kocha msaidizi wa timu ya Simba Jackson Mayanja amesema hakuna kitu kingine wanachohitaji kwenye mechi yao ya nusu fainali zaidi ya matokeo ya ushindi....

YAMETIMIA: Ni Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017

Hatimaye yametimia, ni nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2017 itakayozikutanisha Simba na Yanga kutafuta mshindi atakaefuzu kwenda fainali ya michuano hiyo inayozidi kushika kasi...

Kipigo kutoka Azam ni darasa tosha – Mwambusi

Kipigo cha mabao 4-0 walichotoa Azam kwa Yanga kimegeuka darasa tosha kwa upabde wa Yanga kwamba hawatakiwi kudharau mechi hata kama wamefuzu kwa hatua...

Majibu ya Sure Boy kuhusu kiwango cha Azam msimu huu

Ukiangalia kikosi cha Azam kwa ujumla bado hakifanyi vizuri kuanzia kwenye mechi za ligi kuu Tanzania bara pamoja na mechi mbili za kwanza za...

STORY KUBWA