Wednesday, September 19, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

MABINGWA WATETEZI WA FA CUP MAJARIBUNI LEO

Na Baraka Mbolembole Watakuwa ugenini Nangwanda Sijaona, Mtwara kucheza na wenyeji wao Ndanda SC. 'Wana-Kuchele' watakuwa nyumbani katika mchezo wa pili mfululizo wa michuano hiyo,...

BINGWA SPORTS EXTRA NDONDO CUP KUTWAA MILIONI 10

Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Sports Extra Ndondo Cup atazawadiwa kitita cha Sh. milioni 10, wadhamini wa mashindano hayo, Foreplan Clinic wametangaza. Akizungumza katika...

NI KAUZU VS TEMEKE MARKET FAINALI YA NDONDO CUP

Kauzu FC imetinga fainali ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup baada ya kuichapa Misosi FC kwa changamoto ya mikwaju ya penati. Mchezo huo wa...

Babi bado yupoyupo sana…

Kama ulikuwa na mawazo kwamba Abdi Kasim Babi astaafu soka basi umechemka, jamaa bado yupoyupo kwenye sana kwenye soka, hii ni baada ya kueleza...

ASANTE MUSA HASSAN MGOSI KWA KILA ULICHOFANYA KATIKA SOKA

Na Baraka Mbolembole 'Si desturi iliyo njema kwa mtu kutamani kuishi hata kupindukia umri wake kwa sababu kila neno katika ulimwengu huu huwa jema kwa...

RATIBA YA NUSU FAINALI FA CUP HADHARANI

Droo ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), imefanyika kesho Jumanne saa 3 usiku. Baada ya timu nne za Azam FC,...

CAF YAMPA KIKWETE MAJUKUMU MAPYA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanznaia (TFF), Jamal Malinzi amempongeza Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwa kukubali uteuzi wa Shirikisho...

NGASA ALICHO-POST INSTAGRAM BAADA YA KUVUNJA MKATABA SOUTH AFRICA

Taarifa za Mrisho Ngasa kuvunja mkataba na klabu yake ya Free State Stars FC ya Afrika Kusini zinazidi kuenea kwa kasi hususan kwenye mitandao...

HUU NDIO UKWELI KWANINI WACHEZAJI WENGI WANATIMKIA CHINA

Na Peter Dauda Kiasi cha Pauni milioni 38 walichotoa Jiangsu Suning kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Sharkhtar Donesk ya Ukraine Mbrazil Alex Teixeira kinafanya kiasi cha...

Klabu ya Oman imemnasa striker wa Simba

Habari inayo-trend kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu kuondoka kwa mshambuliaji wa Simba Frederick Blagnon ambaye anaelekea kwenye klabu ya Oman Club...

STORY KUBWA