Friday, February 23, 2018

NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

Goms United yasimamisha mabingwa Ndondo Super Cup

Goms United imefanikiwa kufuzu fainali ya Ndondo Super Cup baada ya kuifunga Itezi 3-2 katika mchezo  huo uliochezwa uwaja wa Bandari, Temeke, Dar es...

Yanga imepigwa faini

Klabu za Lipuli na Yanga kila moja imepigwa faini ya Tsh. 500,000 (laki tano) kwa kutumia milango isiyo rasmi kuingia uwanjani, kitendo ambacho ni...

TFF imetangaza kumfungia Juma Nyoso

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia  Juma Nyoso wa Kagera Sugar kwa kosa la kupiga shabiki baada...

Yanga nawakumbusha ‘kushindwa kujiandaa ni kujiandaa kushindwa’

Na Baraka Mbolembole MABINGWA wa soka Tanzania bara, Yanga SC watashuka tena dimbani Jumatano hii kuwavaa Majimaji FC katika mchezo wa raundi ya 18 ligi...

Ushindi finyu wa Yanga kimataifa, Shaffih Dauda ameona tatizo

Weekend iliyopita vilabu viwili vya Tanzania (Yanga na Simba) vilicheza mechi zao za kwanza za mashindano ya kimataifa msimu huu vikiwa kwenye uwanja wa...

Video-“Tulifikiri Simba wangetufunga 9 au 10”-kocha Gendarmerie

Baada Gendarmerie kupoteza mchezo wao kwa magoli 4-0 dhidi ya Simba, kocha mkuu wa timu hiyo Mvuyekure Issa amesema mawazo na fikra zao kabla...

Video-Kocha Simba kawajibu wanaobeza 4G kimataifa

Baada ya Simba kushinda kwa magoli 4-0 kwenye mcheO wao wa kwanza wa kimataifa dhidi ya Gendarmerie, mashabiki wa wekundu wa Msimbazi wanasema Simba...

Simba imerudi anga za kimataifa

Simba wamerejea kwenye anga za kimataifa kwa ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Gendarmerie National ya Djibouti katika mchezo wa Caf Confederation Cup. Wekundu wa...

Bocco amewaita mashabiki uwanja wa Taifa

Mshambulaji wa Simba John Bocco amewaomba mashabiki wa timu  kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kuishuhudia timu yao ikicheza kwa mara ya kwanza mashindano...

Simba kuna ‘presha’ kubwa”-Aishi Manula

Golikipa namba moja wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Aishi Manula ameweka wazi tofauti iliyopo kati ya timu mbili ambazo...

STORY KUBWA