NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

AZAM NAYO YAREJEA DAR NA KUANZA SAFARI MPYA

Baada ya Yanga kutua jijini Dar es Salaam mchana wakitokea nchini Misri, baada ya saa chache wakaingia waliokuwa wawakilishi wengine wa Tanzania kwenye michuano...

TFF YAZINDUA UWANJA TANGA

Uzinduzi wa kiwanja cha TFF mkoani Tanga umefanyika leo asubuhi, eneo hilo ambambo patajengwa kituo cha kulea na kukuza vipaji vya vijana wa mkoa...

TFF YAPIGA PINI WACHEZAJI WALIOSAJILIWA ‘KIMAGUMASHI’

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linapenda kutoa tahadhali kwa timu tano za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) juu ya kuwatumia...

CHEKI HIGHLIGHTS ZA SAMATTA NA ULIMWENGU WAKIWA NA TP MAZEMBE Vs USM ALGER

Jana usiku TP Mazembe ilipata ushindi ugenini wakicheza dhidi ya USM Alger kwa matokeo ya 2-1. Sasa hivi wana kazi moja tu iliyobaki ili...

CHAMA CHA SOKA UTURUKI, CHAFANYA KWELI. WAAMUZI 94 WAFUKUZWA KAZI.

Mamlaka ya soka nchini Uturuki chini ya chama cha soka cha nchi hiyo (TFF) kimeamua kuwafukuza kazi viongozi wa soka nchini humo wakiwemo waamuzi...

KOCHA WA ESPARANCA AIWASHIA YANGA TAA YA KIJANI MAKUNDI CAF

Kocha wa GD Sagrada Esperanca Zoram Manojlovec anasema kipigo cha magoli 2-0 walichokubali kutoka kwa Yanga kinawapa nafasi finyu ya kusonga mbele kwenye michuano...

HUYU MREMBO KAFUNGUKA KILAKITU KUHUSU UHUSIANO WAKE NA RONALDO

Licha ya kuwa na majukumu mengi ya kuitumikia moja ya klabu kubwa duniani lakini Cristiano Ronaldo bado yuko vizuri kukimbizana warembo wakali. Star uyo wa...

JEROME CHAMPAGNE MKOMBOZI MPYA WA AFRIKA KOMBE LA DUNIA?

Peter Mabere FIFA itakuwa na rais mpya ifikapo tarehe 26 February 2016. Baada ya miaka 18 ya utawala wa Sepp Blatter ambao umegubikwa na utata...

MWENDWA: AKILI YA KENYA IMELALA KWENYE WORLD CUP 2022 (Audio)

Rais wa wa shirikisho la soka nchini Kenya (KFF) Nicholas Mwendwa ni miongoni wa maras wa soka wa ukanda wa Afrika Mashariki ambao walihudhuria...

Mwambusi ametoa 5 kwa Msuva

Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi amesema, amempa tano kiungo mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva lakini akasisitiza kuwa mchezaji huyo wa Taifa Stars ni...

STORY KUBWA