NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

Mashindano ya Copa Coca-Cola UMISSETA yazinduliwa rasmi Manyara

Mashindano ya mwaka 2019 ya Copa Coca-Cola UMISSETA yamezinduliwa rasmi mkoani Manyara leo ikiendeleza juhudi za Kampuni ya Coca-Cola kuunga mkono michezo mashuleni hapa...

Takwimu za Simba na TP Mazembe hatua ya makundi

Draw ya ligi ya mabingwa Afrika hatua ya robo fainali imepangwa, watu wengi walikuwa wanataka kujua nani anakutana na nani hatimaye wameshajua. Mnyama anarudi...

Huyu ndio Zana Coulibaly!

Baada ya kuonesha kiwango kizuri na kuwashika mashabiki wa Simba, wakala wa Zana Coulibaly Faustino Mukandila amefunguka mambo kibao ikiwa ni pamoja na sababu...

Simbu apenya Olympic 2020

Wanariadha wa Tanzania Alphonce Simbu na Augustino Sulle wamefanikiwa kufuzu kwa michezo ya Olympic itakayofanyika jijini Tokyo, Japan mwakani. . . Wanariadha hao wamefanikiwa kufuzu baada ya...

Kibonde alikuwa fundi wa Basketball

Enzi za uhai wa mpendwa wetu Ephraim Kibonde alikuwa ni mwanamichezo haswa na alikuwa vizuri kwenye kuucheza mpira wa kikapu kama ambavyo anaelezea Rais...

Ndimbo asimukia Ruge na Kibonde walivyomfungulia DUNIA

Clifford Ndimbo ni miongoni mwa watu waliopita na kutangaza kipindi cha michezo ndani ya Clouds FM lakini kwa sasa ni afisa habari wa TFF....

Ruge amefanya Mapinduzi ya uendeshaji vipindi vya michezo Tanzania

Katika kipindi hiki cha maombolezo ya kuondokewa na Boss Ruge, vipindi vingi bado vya Clouds FM na Clouds TV vinazungumzia mambo mbalimbali kuhusu Ruge...

Rais wa TFF Wallace Karia alivyoguswa na kifo cha Ruge

Wadau kibao wamekuwa wanaelezea namna walivyoguswa na kifo cha Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba. Kwa sababu Ruge alikuwa...

Ruge apumzishwa makazi ya milele

Mchanga umemeza mwili wa Boss wetu, lakini hautaweza kumeza roho yake, hautaweza kumeza mawazo na fikra chanya alizoambukiza kwa Taifa lake. Hapa ndipo ulipolala mwili...

Ruge alivyopokelewa na kuagwa Bukoba

Hivi ndivyo wakazi wa Bukoba walivyojitokeza 'BukobaAirpot' huku nyuso zao zikiwa na simanzi ili kuweza kuupokea mwili wa mpendwa wao/wetu Ruge Mutahaba. Magari yamepambwa, ikiwa...

Magufuli alivyoongoza maelfu kumuaga Ruge Dar

Alizaliwa Marekani (01/05/1970). Alisoma darasa la kwanza hadi la sita huko Arusha School, akaja kumaliza hapa DSM katika shule ya msingi Mlimani. Baadae alienda Forodhani...

Ruge alivyoisimamisha Dar

Karibu nyumbani shujaa, karibu nyumbani Boss, #RugeMutahaba, tuko hapa. Tunapita njia ya Buguruni kisha kufuata njia tuliyotangaza. Mwili wa mpendwa wetu Ruge Mutahaba, tayari umewasili katika...

Kauli za watu mbalimbali baada ya kifo cha RUGE

"Ruge amekuwa akiishi maisha ya kujitolea yeye ili wanufaike wengi"-Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya nne. Mchango...

Makamba anaamini Simba itetea ubingwa, atoa ushauri kwa viongozi

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba ambaye pia ni mwanachama wa Simba itatetea ubingwa wake msimu huu...

Waamuzi 18 wapigwa pini Nigeria

Chama cha waamuzi nchini Nigeria 'The Nigeria Referees Association' (NRA) kimewasimamisha waamuzi 18 kusimamia mechi za ligi ya Nigeria Nigeria Professional Football League (NPFL)...

Mali yashinda ubingwa wa Afrika U20

Timu ya taifa ya vijana ya Mali chini ya miaka 20 imeshinda ubingwa wa Afrika baada ya kuifunga Senegal kwa changamoto ya mikwaju ya...

Msuva aiokoa timu yake nyumbani

Simon Msuva jana ameiokoa klabu yake Difaa El Jadida kuchezea kichapo dhidi ya RSB Berkane kwenye uwanja wa nyumbani baada ya kuisawazishia bao kwenye...

Yanga wanakula hizo…

Kuelekea mechi ya #WataniWaJadi shabiki wa kihindi wa Simba anasema Yanga wanakula 4 leo. Angalia video #YouTube kupitia #DaudaTV bofya PLAYâ–¶kuangalia video mwanzo mwisho hapa...

“Nahisi kutapika nikisikia KWA MCHINA”-Mwakyembe

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe amepiga vita uwanja wa taifa kuitwa KWA MCHINA kama ambavyo imeanza kuzoeleka siku za...

Mwakyembe azindua nembo ya AFCON U17

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, leo Alhamis Februari 14,2019 amezindua nembo maalum ya fainali za Afrika kwa vijana chini...
474,517FansLike
1,576,140FollowersFollow
80,910FollowersFollow