Sunday, September 23, 2018

LA LIGA

Home Ligi LA LIGA

DAUDA TV: RONALDO AKATAA KUPEANA MKONO NA RAMOS BAADA YA KIPIGO CHA SEVILLA

Mambo yanaonekana kutokwenda vyema kunako klabu ya Real Madrid msimu huu. Wana pointi tatu nyuma ya Barcelona katika La Liga, lakini kuna mpasuko mkubwa...

DAVID MOYES ATUPIWA VIRAGO HISPANIA

Kocha wa zamani wa vilabu vya Manchester United na Everton za nchini England, Mscotish David Moyes amefukuzwa kazi rasmi na klabu ya Real Socieded...

DAVID MOYES AKALIA KUTI KAVU HISPANIA

Presha imezidi kupanda kwa kocha David Moyes wa klabu ya Real Socieded inayoshiriki ligi kuu nchini Hispania (La Liga) mara baada ya jana usiku...

Hii ndio kauli iliyomtia hatiani Benzema kwenye kesi ya mkanda wa ngono wa Valbuen

Karim Benzema yupo kwenye matatizo ya makubwa ya kisheria hivi sasa.   Pamoja kesi ya traffic ambayo inaweza kumpeleka kizimbani siku ambayo kutakuwa na El Clasico,...

Cristiano Ronaldo ana ndoto za kurejea Old Trafford 2016

Tangu alipoondoka Old Trafford mnamo mwaka 2009, kujiunga na Real Madrid, tetesi za kurejea katika klabu iliyompa umaarufu zaidi duniani - Manchester United hazijawahi...

LEO KATIKA TBT:ALESSANDRO DEL PIERO APIGIWA MAKOFI BERNABEU

Siku zote kumbukumbu ni sehemu ya maisha yetu sisi binadamu na uwepo wake hutufanya tuwe na furaha na amani katika maisha yetu ya kila...

SASA RASMI FILAMU YA RONALDO KUZINDULIWA NOVEMBA 9 MWAKA HUU.

Baada ya sintofahamu ya muda mrefu juu ya lini filamu ‘movie’ ya Cristiano Ronaldo itatoka hatimaye filamu hiyo kuzinduliwa mwezi huu tarehe 9 na...

Ronaldo ndani ya msimu wake bora zaidi na Madrid – hizi hapa rekodi zake

Katika msimu mpya wa soka barani ulaya Real Madrid wana rekodi ya kupiga mipira mingi zaidi langoni mwa wapinzani - mara 150 - na...

RATIBA YA MECHI ZOTE ZA VPL, EPL NA LA LIGA JUMAMOSI NA JUMAPILI HII

Ligi mbalimbali bado zinaendelea duniani, wapenda soka wanapenda kujua ratiba za gili mbalimbali hasa katika siku za mwisho wa wiki ili wapate kufuatilia baadhi...

INAKUAJE SASA….SERGIO RAMOS AMEKUWA MLINZI WA SUPERMARKET?

Sergio Ramos mchezaji wa Real Madrid ali-trend kwenye twitter kutokana na picha iliyosambaa ikimuonyesha mtu ambae anafanana kabisa na Ramos akiwa kwenye lindo ndani...

STORY KUBWA