Wednesday, September 19, 2018

LA LIGA

Home Ligi LA LIGA

RONALDO ATANGAZA KUSTAAFU TIMU YA TAIFA

Nahodha wa Timu ya taifa ya Ureno na nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amesema fainali za kombe la dunia za mwaka 2022 zitakazofanyika...

MESSI ACHUKUA MAAMUZI KWA KIJANA ALIYEVAA MFUKO WA ‘RAMBO’ WENYE JINA LAKE MGONGONI

Juma lililopita kulikuwa na mjadala mkubwa kuhusu ni kijana gani ambaye amevaa mfuko wa plastic wenye rangi sawa na jezi ya bendera ya timu...

Barack Obama atajwa kwenye kufukuzwa kazi kocha wa Hispania

Mwezi uliopita wakati zimebaki siku chache kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la dunia pale Urusi, timu ya taifa ya Hispania ilitawala vyombo...

Barcelona wanategemea kufikia rekodi hii ya Real Madrid kwenye mechi ijayo

Hadi sasa Barcelona wameshacheza mechi 33 kwenye msimu huu mfululizo bila kufungwa baada ya mechi iliyopita dhidi ya Arsenal. Mechi ya mwisho Barcelona kufungwa...

Ni Messi pekee wa kuiokoa Real Madrid katika hili baada ya Ronaldo kuondoka

Kuondoka kwa Cristiano Ronaldo kutoka Real Madrid kwenda Juventus sio tu kwamba kumeondoa mashabiki wengi wa Madrid ameenda nao Serie A ila kuna jambo...

Style ya kushangilia yampa dili la tangazo Antoine Griezmann

Kwa wale ambao wanamfatilia Antoine Griezmann wanajua jinsi anavyoshangilia magoli yake pale anapofunga. Griezmann huwa anacheza kama Drake na nyimbo ya Hotline Bling. Style...

Ronaldo amepoteza shabaha?

Cristiano Ronaldo alikosa nafasi nyingi za kufunga lakini Alvaro Morata aliyeingia kutoka benchi alikuwa shujaa baada ya kufunga goli la ushindi akiwa anaadhimisha birthday...

Cristiano Ronaldo atua tena ndani ya Morocco.

Safari za Cristiano Ronaldo kwenda Morocco zilimletea skendo kubwa kipindi kilichopita licha ya yeye mwenyewe kupotezea huo uvumi. Hivi sasa kuhusu Ronaldo imeripotiwa kwamba ameenda...

VIDEO: HAWA NDIO WANATABIRIWA KUWA WARITHI MESSI NA NEYMAR BARCELONA

Ukiwa unaendelea kuangalia vipaji vya sasa ambavyo vimepitia La Masia Academy kama Lionell Messi na wengine kupitia Azam TV ambayo inaonyesha live La Liga,...

MESSI AELEZEA UADUI WAO NA CRISTIANO RONALDO

Kabla haujasoma hii story kumbuka kwamba hawa jamaa wanapeana mikono kwenye kila mechi ya El Classico ya La Liga ambapo wanakutana Real Madrid Vs...

STORY KUBWA