Monday, September 24, 2018

LA LIGA

Home Ligi LA LIGA

RONALDO AWAPIGA DONGO WACHEAJI WA MADRID BAADA YA KIPIGO CHA ATLETICO

Cristiano Ronaldo amewashukia wachezaji wenzake wa Real Madrid baada ya kipigo cha jana kutoka kwa mahasimu wao Atletico Madrid, akidai kwamba Madrid wangeweza kuwa...

HIKI NDICHO ALICHOFANYA MESSI BAADA YA KUVUNJA REKODI YA CECH (Video)

Leo Messi hatimaye alifuta ukame wa magoli dhidi ya Petr Cech siku ya Jumanne usiku, mu-Argentina huyo alikuwa hajafunga goli lolote dhidi ya golikipa...

RONALDO AMETAJA JINA ANALOPENDA MABINTI WAMUITE (Video)

Cristiano Ronaldo has featured in another new video from Unscriptd, in which the Real Madrid star has answered a series of questions on mainly...

Cristiano Ronaldo Abadili Mfumo wa Mazoezi na Chakula Ili Adumu Zaidi Kwenye Soka

Cristiano Ronaldo amejitambua kwamba umeanza kuelekea mwishoni mwa maisha yake ndani ya soka - mapema mwezi huu Ronaldo alitimiza miaka 31.    Pamoja na kwamba bado...

MSN Is On Fire: Yazipita timu zaidi ya 90 Ulaya Kwa Ufungaji Msimu Huu...

Vijana watatu wa Ki-Amerika ya Kusini wa klabu ya BARCELONA Lionel Messi, Luis Suarez and Neymar wameendelea kuweka rekodi tofauti za ufungaji kila wanapocheza. Mpya...

Ushahidi: Cristiano Ronaldo ndio Mwanamichezo Anayependwa kuliko wote duniani.

Inaaminika David Beckham ndio alikuwa mchezaji maarufu kuliko yoyote katika kipindi cha kuanzia 1999-2010, lakini taji hilo kwa sasa lipo chini ya mwanasoka Cristiano...

KUELEKEA ARSENAL VS BARCELONA: UNAJUA LUIS ENRIQUE AMEWAHI KUIPIGA ARSENAL BAO 2 KWA MGUU...

Kuelekea mchezo wa UEFA Champions League kati ya Arsenal dhidi ya Barcelona, shaffihdauda.co.tz inakukumbusha kwamba, kocha wa sasa wa miamba ya Catalan Luis Enrique...

BARCA BILA YA MESSI, NEYMAR, SUAREZ, YAWEKA REKODI MPYA

Goli la kusawazisha la Wilfrid Kaptoum sio tu liliwanyima ushindi Valencia iliyo chini ya Garry Neville ambao ungewaongezea ari, lakini pia limeongeza idadi ya...

Ronaldo: Ni muda sahihi auzwe au aendelee kubaki Madrid?

Mnamo mwezi wa sita 2015 mtandao mmoja wa michezo wa Spain ulitoa fursa kwa wasomaji wake kupiga kuhusu uwezekano wa Real Madrid kumuuza Cristiano...

RONALDO ATANGAZA KUSTAAFU TIMU YA TAIFA

Nahodha wa Timu ya taifa ya Ureno na nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amesema fainali za kombe la dunia za mwaka 2022 zitakazofanyika...

STORY KUBWA