LA LIGA

Home Ligi LA LIGA Page 2

Cristiano Ronaldo Kuwa Baba Kwa Mara Ya Pili?

Gazeti la kireno la Correio da Manha wameanzisha tetesi kubwa, wakidai kwamba Cristiano Ronaldo anatarajia kuwa baba kwa mara ya pili.  Mpaka sasa taarifa hii...

Picha za Arsenal wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho kabla ya kucheza na Barcelona.

Kikosi kizima cha Arsenal kimeshafika Hispania na leo hii wamefanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi yao ya kesho dhidi ya Barcelona. Mechi ya...

Kikosi Bora Cha FIFA: Kwanini Madrid Imetoa Wachezaji 4 Sawa Na Barca, Walistahili?

Kwa mara nyingine tena, kikosi bora cha dunia cha FIFPro World XI hakijahusisha mchezaji hata moja wa ligi kuu ya English Premier ambayo ina...

MARTINEZ ATUA LIGI YA CHINA NA KUVUNJA REKODI

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya FC Porto na Atletico Madrid Mkolombia Jackson Martinez amejiunga rasmi na klabu ya ligi kuu ya China Guangzhou Evergrande...

Griezmann mchezaji bora La Liga, Modric kiungo bora

Mshambualiji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann ametajwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa La Liga kwenye hafla maalum iliyofanyika jijini Valencia jana. Griezmann ameshinda...

Dembele wa Dortmund Aongoza Wachezaji bora 30 Vijana, Rashford yumo.

Inawezekana mpaka sasa ukawa unajiuliza wachezaji gani vijana ni bora mpaka sasa. Inawezekana jina la Marcus Rashford likawa linakuja haraka kichwani kwako, au pengine...

Pamoja na Kiwango Kibovu Uwanjani – Man Utd yazifunika Barca, Madrid, katika listi ya...

Mauzo makubwa ya haki ya matangazo ya TV, mauzo ya jezi, mauzo ya wachezaji na uuzaji, matangazo ya biashara na uuzaji wa bidhaa mbalimbali...

La Liga: Miaka 23 ya kumbukumbu Mbaya Ya Siku Ya Mwisho Ya ligi Kwa...

Real Madrid bado wana nafasi ya kushinda ubingwa wao wa 33 wa ligi siku tatu zijazo lakini wana kumbukumbu mbaya za kugombea ubingwa mpaka...

Barca vs Valencia: Vita safu bora ya Ushambuliaji dhidi ya Safu bora ya Ulinzi

Kikosi cha Luis  Enrique leo usiku kitasafiri mpaka kwenye dimba la Mestellah kuumana na Valencia ambao katika siku za hivi karibuni wamekuwa na hali...

Takwimu za Gerrard Pique ndani ya Barcelona

 Gerard Piqué anatarajia kufikisha mchezo wa 300 hivi leo • 299 Michezo • 220 Ushindi • 54 sare • 25 kufungwa • 79 kadi za njano • 7 Kadi nyekundu •...

Messi na Ronaldo Wanafanana Kama Mapacha Ufungaji

Ubishani usiokwisha kwenye ulimwengu wa soka, habari ambayo kila siku huzaliwa. Ni kitu kilichozoeleka sasa, nani zaidi kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi? Huku kila...

Wachezaji wa Real Madrid wamempania Gerard Pique

Huyu jamaa ni maarufu sana kwa kuwadhihaki wachezaji wa Real Madrid pale ambapo watakapo fanya vibaya kwenye kitu chochote hasa cha kuhusu soka. Gazeti la...

SABABU KWANINI POGBA HAFAI KUSAJILIWA NA FC BARCELONA

Vyanzo kadhaa vya habari za michezo duniani vimekuwa vikimhusisha kinda wa kifaransa Paul Pogba na usajili kwenda jijini Catalunya kujiunga na FC Barcelona. Pogba...

Hivyo Ndivyo Real Madrid Wanavypanga Kupangua Kifungo cha Kusajili cha FIFA

Real Madrid wametangaza kwamba watakata rufaa juu ya kifungo cha kusajili katika vipindi viwili vijavyo vya usajili walichopewa na FIFA jana Alhamisi, kutokana na...

RATIBA YA LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA WEEKEND HIII

Baada ya pilika za wiki nzima hatimaye leo ni ,mapumziko, kwa wale wapenda soka leo ligi mbalimbali barani Ulaya zitaendelea kwa mechi kadhaa kupigwa....

Video ya Cristiano Ronaldo akionyesha jumba lake lenye thamani ya £4.8m.

Hiki ni kitu cha kawaida kwa mastaa wa Marekani hasa kwenye kipindi cha MTV Cribs. Kwenye show hiyo watu mbalimbali maarufu huonyesha jinsi gani...

Staa wa FC Barcelona ahukumiwa kwenda Jela Mwaka 1 kwa ukwepaji Kodi

Klabu ya FC Barcelona imekuwa na historia ya kuhusishwa na ukwepaji kodi mbalimbali kupitia wachezaji wake maarufu, akiwemo Lionel Messi, Neymar na Javier Mascherano,...

RATIBA YA MECHI ZOTE ZA VPL, EPL NA LA LIGA JUMAMOSI NA JUMAPILI HII

Ligi mbalimbali bado zinaendelea duniani, wapenda soka wanapenda kujua ratiba za gili mbalimbali hasa katika siku za mwisho wa wiki ili wapate kufuatilia baadhi...

BARCELONA VS REAL MADRID: RONALDO NA MESSI WANAVYOLINGANA REKODI ZA EL CLASICO

Mapumziko ya lili mbalimbali kupisha mechi za kimataifa yamemalizika, sasa wachezaji wanarejea kwenye vilabu vyao kuendelea na majukumu yao. Mwishoni mwa juma hili zitapigwa...

NEYMAR AMEKOMAA, SUAREZ ANATOA MAJIBU. BARCELONA YAIANGAMIZA MADRID NA HATIMA YA RONALDO VIPI?

Neymar na Luis Suarez waliendelea na rekodi yao bora ya ufungaji msimu huu  wakiiangamiza RealMadrid na kuendeleza wigo wa pointi kufikia 6. Pengine sasa Barcelona...
473,622FansLike
169,928FollowersFollow
72,217FollowersFollow