LA LIGA

Home Ligi LA LIGA Page 2

Picha za Arsenal wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho kabla ya kucheza na Barcelona.

Kikosi kizima cha Arsenal kimeshafika Hispania na leo hii wamefanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi yao ya kesho dhidi ya Barcelona. Mechi ya...

Real Madrid vs AS Roma: Madrid kuvunja mwiko dhidi ya Waitaliano na Kufuzu Robo...

Real Madrid CF inakutana na AS Roma leo katika mchezo wa pili wa raundi ya 16 bora wakiwa wameshaingiza mguu mmoja ndani kwenye robo...

Ubishi wa Leo Messi Vs Ronaldo wasababisha Wanaijeria Kuuana India

Story ya kusikitisha inayohusisha kifo cha mtu mmoja kilichotokana na ushabiki wa mpira, kimeripotiwa na gazeti la Hindustan Times.   Kijana Obinna Micheal Durumchukwa aliyekuwa na...

Taji la ‘Comeback Kings’ sasa lipo mikononi mwa Barcelona 

FC Barcelona wanaongoza ligi kwa pointi 8 mbele ya Atletico Madrid wanaoshika nafasi ya pili na pointi 12 mbele ya wapinzani wao wakubwa Real...

NINI KINAENDELEA KATI YA NEYMAR NA HUYU STAR WA HOLLOYWOOD?

Je Neymar ana date na mwigizaji wa Holloywood? Inawezekana isiwe kweli, lakini kuna picha (SnapChat) iliyosababisha magazeti ya udaku yaandike mengi kuhusu star huyo...

RONALDO AWAPIGA DONGO WACHEAJI WA MADRID BAADA YA KIPIGO CHA ATLETICO

Cristiano Ronaldo amewashukia wachezaji wenzake wa Real Madrid baada ya kipigo cha jana kutoka kwa mahasimu wao Atletico Madrid, akidai kwamba Madrid wangeweza kuwa...

HIKI NDICHO ALICHOFANYA MESSI BAADA YA KUVUNJA REKODI YA CECH (Video)

Leo Messi hatimaye alifuta ukame wa magoli dhidi ya Petr Cech siku ya Jumanne usiku, mu-Argentina huyo alikuwa hajafunga goli lolote dhidi ya golikipa...

RONALDO AMETAJA JINA ANALOPENDA MABINTI WAMUITE (Video)

Cristiano Ronaldo has featured in another new video from Unscriptd, in which the Real Madrid star has answered a series of questions on mainly...

Cristiano Ronaldo Abadili Mfumo wa Mazoezi na Chakula Ili Adumu Zaidi Kwenye Soka

Cristiano Ronaldo amejitambua kwamba umeanza kuelekea mwishoni mwa maisha yake ndani ya soka - mapema mwezi huu Ronaldo alitimiza miaka 31.    Pamoja na kwamba bado...

MSN Is On Fire: Yazipita timu zaidi ya 90 Ulaya Kwa Ufungaji Msimu Huu...

Vijana watatu wa Ki-Amerika ya Kusini wa klabu ya BARCELONA Lionel Messi, Luis Suarez and Neymar wameendelea kuweka rekodi tofauti za ufungaji kila wanapocheza. Mpya...

Ushahidi: Cristiano Ronaldo ndio Mwanamichezo Anayependwa kuliko wote duniani.

Inaaminika David Beckham ndio alikuwa mchezaji maarufu kuliko yoyote katika kipindi cha kuanzia 1999-2010, lakini taji hilo kwa sasa lipo chini ya mwanasoka Cristiano...

KUELEKEA ARSENAL VS BARCELONA: UNAJUA LUIS ENRIQUE AMEWAHI KUIPIGA ARSENAL BAO 2 KWA MGUU...

Kuelekea mchezo wa UEFA Champions League kati ya Arsenal dhidi ya Barcelona, shaffihdauda.co.tz inakukumbusha kwamba, kocha wa sasa wa miamba ya Catalan Luis Enrique...

BARCA BILA YA MESSI, NEYMAR, SUAREZ, YAWEKA REKODI MPYA

Goli la kusawazisha la Wilfrid Kaptoum sio tu liliwanyima ushindi Valencia iliyo chini ya Garry Neville ambao ungewaongezea ari, lakini pia limeongeza idadi ya...

Ronaldo: Ni muda sahihi auzwe au aendelee kubaki Madrid?

Mnamo mwezi wa sita 2015 mtandao mmoja wa michezo wa Spain ulitoa fursa kwa wasomaji wake kupiga kuhusu uwezekano wa Real Madrid kumuuza Cristiano...

RONALDO ATANGAZA KUSTAAFU TIMU YA TAIFA

Nahodha wa Timu ya taifa ya Ureno na nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amesema fainali za kombe la dunia za mwaka 2022 zitakazofanyika...

DILI LA MKATABA WA DE GEA NA MADRID LAVUJA

David De Gea angekuwa akilipwa yuro milioni 11.8 kwa mwaka (paundi milioni 9.1) kwa mwaka endapo angehamia klabu ya Real Madrid, hii ni kutokana na...

TAARIFA MPYA KUHUSU MESSI NA TATIZO LA FIGO

Hapo awali iliarifiwa kuwa Lionel Messi angefanyiwa upasuaji ili kuondoa tatizo la figo linalomkabili nyota huyo. Mshambulizi huyo nyota wa Barcelona alikosa baadhi ya michezo...

Ronaldo na Messi kwenye vita ya ununuzi wa Ferrari Ghali Zaidi! Mmoja atajwa kushinda 

Wanasoka bora zaidi katika kizazi hiki cha soka cha sasa Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wametajwa kuingia kwenye ushindani mwingine usiokuwa rasmi wa kuinunua...

Lionel Messi kufanyiwa Upasuaji wa Kutibu Ini – Huu ndio muda ataokaa nje

Takribani miezi miwili tangu aliporejea uwanjani baada ya kukaa nje kwa wiki kadhaa, mwanasoka bora wa dunia, Lionel Messi anarejea tena hospitali wikii kufanyiwa...

BAADA YA KIPIGO CHA BAO 7-0 TOKA BARCA, WENGER AMSHAURI JAMBO NEVILLE

Arsene Wenger amemshauri Gary Neville kupigania nafasi yake kunako klabu ya Valencia kwa sababu bado hana uzoefu mkubwa hivyo watu kukosa imani naye kama...
473,565FansLike
169,928FollowersFollow
72,120FollowersFollow