Wednesday, September 19, 2018

LA LIGA

Home Ligi LA LIGA

MESSI AWEKA REKODI MPYA LA LIGA (Video)

Jumapili usiku, Lionel Messi alipata nafasi ya kufunga goli la 300 kwenye ligi ya Hispania ‘La Liga’, lakini alimpasia Luis Suarez penati ambayo imekua...

RONALDO AKIMBIA UWANJA MADRID IKIICHAPA VILLAREAL 3-0

Real Madrid imeshinda mchezo wake wa Jumatano usiku dhidi ya Villareal kwenye uwanja wake wa Bernabeu na kuweka hai matumaini yao kwenye mbio za...

MANENO YA MWISHO YA WENGER KWA WACHEZAJI WAKE KABLA YA KUIVAA BARCA

Wakiwa wamekutana na Barcelona kwa nyakati tofauti tofauti, Wenger amesema amejifunza namna ya kucheza na timu aina ya Barcelona. "Kiukweli, bila shaka ugumu wa mchezo...

SUAREZ APIGA TENA 4, BARCA YAFANYA BALAA JINGINE LA LIGA

Barcelona imeendelea kukaa kileleni mwa La Liga ikizipiku Atletico Madrid na Real Madrid zinazomfutia kwa karibu baada ya kuichakaza Sporting kwa magoli 6-0. Kutoka kwenye...

Baada ya mechi ya El Classico, refa afungiwa kwa kuwa karibu na Barcelona

Sasa hivi imethibitishwa na refa msaidizi Paul Devis amefungiwa na La Liga kutokana na kuonekana kuwa karibu sana na Barcelona kwenye mechi ya El...

Kwanini Naamini Usajili wa Ronaldo Man United Sio Sahihi

Wakati fulani msimu uliopita katika tukio la hisani, Kocha wa Manchester United Louis van Gaal alipewa listi ya wachezaji ambao kijana mmoja shabiki wa...

El Clasico: Wengi wanaipa Barca nafasi lakini historia inaipa nafasi Madrid

Siku 4 kabla ya dunia ya wapenda soka kushuhudia mtanange wa wapinzani wa jadi wa soka la Hispania - FC Barcelona vs Real Madrid...

Wachezaji ghali zaidi wa kihispaniola – Morata kuandika rekodi mpya ya usajili

Kuelekea kukamilisha usajili wa kujiunga na Manchester United akitokea Real Madrid, Alvaro Morata ataingia kwenye vitabu vya rekodi vya usajili nchini Hispania kwa kuwa...

ZINADE NI MTU SAHIHI MADRID LAKINI NI MUHIMU AZINGATIE HAYA ILI ADUMU

Na Mahmoud Rajab Kushinda taji la Champions League ni jambo kubwa sana kwa kocha yeyote barani Ulaya, ni jambo linaleta heshima kubwa na kujenga historia...

POLE SANA NEVILLE, HATA KWENU YAPO

Na Athumani Adam Tupo kwenye karne ya 21, dunia imekubali mchango wa vyombo vya habari kuripoti matukio mbali mbali yakupendeza na kuchukiza. Tunawapenda Messi, Ronaldo...

STORY KUBWA