LA LIGA

Home Ligi LA LIGA

Tegemea kumuona Arturo Vidal kwenye EPL na club hii

Ukizungumzia ligi ya England ni kivutio cha wachezaji wengi sana duniani kutokana na umaarufu wake na ushindani mkubwa uliopo. Arturo Vidali ameshacheza ligi ya...

James Rodriguez apata Visa ya Uingereza

Hatimaye tunakaribia kuwa na James Rodriguez kwenye ligi ya England kutokana na kila kinachoendelea sasa hivi. Jana nilikupa story ya James kuonekana kwenye ubalozi...

Messi na Ronaldo Wanafanana Kama Mapacha Ufungaji

Ubishani usiokwisha kwenye ulimwengu wa soka, habari ambayo kila siku huzaliwa. Ni kitu kilichozoeleka sasa, nani zaidi kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi? Huku kila...

James Rodriguez na dalili mpya za kwenda EPL

Mchezaji wa Real Madrid James Rodriguez ameendelea kuonyesha dalili zote kwamba anakaribia kujiunga na club moja wapo inayoshiriki kwenye ligi ya England. James ambayee alipata...

Suarez atalipwa £230,000 kwa miaka mitano ijayo ndani ya Barca

Barcelona wamefanikiwa kupata saini muhimu ya mchezaji wao Luis Suarez na kujihakikishia kwamba atakuwepo na club hiyo hadi mwaka 2021. Suarez alikua ni mmoja...

Mechi Haimaliziki Mpaka Madrid Wafunge. Kocha Wa Deportivo akemea Waamuzi.

Baada ya kufungwa kwa mabao 3-2 dhidi ya klabu ya Real Madrid siku ya Jumamosi, kocha wa Deportivo La Coruna, Gaizka Garitano amesema kuwa...

Baada ya mechi ya El Classico, refa afungiwa kwa kuwa karibu na Barcelona

Sasa hivi imethibitishwa na refa msaidizi Paul Devis amefungiwa na La Liga kutokana na kuonekana kuwa karibu sana na Barcelona kwenye mechi ya El...

Unamuwaza Ronaldo? yupo mchezaji anayevuta mkwanja mrefu zaidi kwa wiki

Jaribu kuwaza kwa haraka mchezaji yupi anayeweza kuwa analipwa zaidi duniani kwa sasa kwa upande wa wanasoka. Kwa haraka lazima katika akili yaibuke majina ya...

Aguero anavyoiingizia mkwanja Atletico kutoka Man City

Watu wamegundua kipengele cha mkataba wa Sergio Aguero ndani ya Man City kinavyoinufaisha klabu ya Atletico Madrid hadi leo kutokana na star huyo wa...

Mourinho anataka Manchester ivunje kibubu kumsajili Neymar

Kutoka kwenye ripoti ya Daily Record ni kwamba kocha wa United ameweka macho kwa Neymar ambae anaonekana anataka sana kutoka nje ya Hispania sasa...

STORY KUBWA