Wednesday, September 19, 2018

EPL

Home Ligi EPL

Hongera Haji Manara kwa ushindi lakini kwa hili la Shaffih Dauda umepayuka

Jana mabingwa wa soka nchini Tanzania klabu ya soka ya Simba Sc ilifanikiwa kutwaa ngao ya hisani katika mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar...

Mmemmiss Wenger eeh? kwa mara ya kwanza tangu 1992 Arsenal wakutwa na janga hili

Assist ya Marco Alonso dakika ya 9 ilizaa bao lililowekwa kimiani na Pedro, na hii inamfanya Alonso kuhusika katika mabao 19 tangu aanze kuichezea...

Yaliyojiri EPL, Kane auua mzimu wa August huku kadi ya Vardy kicheko kwa Liverpool

Tottenham 3-Fulham 1. Lucas Moura alitangulia kuifungia Tottenham Hotspur dakika ya 43 na kumfanya kuhusika katika mabao 6(assist 4, magoli 2) tangu ajiunge na...

Simba vs Mtibwa, Chelsea vs Arsenal, Chievo vs Juventus, Jumamosi flani ivi …….

Watoto wa mjini wanasema Jumamosi flani ivi amazing, baaasi hii leo ndio Amazing haswa kwa sisi watu wa soka na remote hazichezi mbali na...

London Derby, Unai Emery kuifukuzia rekodi mbovu iliyodumu kwa miaka 26

Makocha wawili wapya katika EPL huku Maurizio Sarri kule Unai Emery hii leo wanakutana katika mchezo ambao utaoneshwa moja kwa moja kupitia DSTV channel...

LONDON DABI: Ni Chelsea Vs Arsenal, nani ataibuka mbabe

The London dabi ya 52 kwenye Premier League. Mara ya 26 mwisho kukutana Arsenal ameshinda kwa asilimia 54 (W14 D9 L3), Chelsea ameshinda kwa...

Wakati saga lake na Pogba bado la moto, De Bruyne amchana Mourinho

Mambo ni motoo Old Traford, mvutano kati ya Jose Mourinho na kiungo Paul Pogba ni wa moto huku kila mmoja akiongea yake lakini sasa...

Uhusiano wa Paul Pogba na United wazidi kupasuka, anataka kuondoka

Waswahili wanasema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja, lakini lisemwalo kuhusu Paul Pogba na Manchester United inaonekana sasa limewadia na hali si hali Old...

Kipa yupi ni bora kuwahi kutokea Manchester United kati ya hawa?

Kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu ni nani kipa bora aliyewahi kuichezea Manchester United kati ya Schmeichel, Van Der Saar na David De...

Huyu kinda wa Arsenal taarifa zake tunazo, ni suala la muda tu

Leo nimekutana na bango la kinafiki sana. Kuna mdau kaniambia eti "Nimegundua Wenger ameacha pengo" Mantiki yake ni kwamba eti Unai ni mbovu tu sawa...

STORY KUBWA