Sunday, September 23, 2018

EPL

Home Ligi EPL

Video : Bournemouth washerekea kama machizi baada ya kuifunga Chelsea

Kocha cha Bournemouth amesema anaomba wasamehewe kwa kushangilia kupitia kiasi baada ya kuifunga Chelsea kwenye uwanja wa Stamford Bridge kwasababu ushindi huo ni wa...

TRA ya Hispania yatinga mifukoni mwa Alexis Sanchez.

Mshambuliaji wa klabu ya arsenal, Alexis Sanchez anashutumiwa kuhusika na ubadhikifu wa fedha zinazosimamiwa na mamlaka ya kodi ya Hispania inayokadiriwa kuwa kiasi cha Euro Milioni...

Leicester City wataweza kuzuia moto wa Liverpool Jumamosi hii?

Mwanzo wa Leicester katika ligi unaonekana kuwa mzuri lakini Liverpool wameanza vyema zaidi mpaka baadhi ya watu wameanza kusema ndio timu ambayo inaweza kuizuia...

VIDEO: UNAJUA BENITEZ ALIWAAMBIA NINI WACHEZAJI WAKE HALF-TIME DHIDI YA LIVERPOOL?

Baada ya kuchapwa magoli 2-0 hadi kufikia hal-time, ilidhaniwa huenda ingekuwa ni siku nyingine ya huzuni kwa mashabiki wa Newcastle United. Hayo yote yalibadilika...

Van Gaal akiacha kazi Manchester United ataenda hapa.

Moja ya story kubwa zinazosubiriwa sana msimu huu wa usajili ni kuhusu kocha LVG kuacha kazi kwenye club ya Manchester United. Kocha ambae anatajwa...

Alichosema Fabregas Kuhusu Kuongoza Mgomo Dhidi Ya Mourinho

Baada ya kuzuka kwa tuhuma kwamba yeye ni mmoja wa wachezaji wanaoongoza mgomo wa wachezaji wa Chelsea dhidi ya kocha wap Jose Mourinho -...

Nani kutwaa tuzo ya kocha bora na mchezaji bora wa Mwezi

Wanaowania tuzo ya kocha bora wa Javi Gracia (WAT) W3 D0 L0 Watford wameshinda michezo yao yote mitatu. Gracia amewekeeza mfumo uliofanya kazi kwa asilimia 100....

Liverpool vs Man Utd: Ushindi kwa United Utampa Van Gaal rekodi bora kuliko kocha...

Liverpool vs Manchester United: ni moja ya mechi kubwa kabisa katika historia ya soka nchini Uingereza.  Timu hizi zinakutana kwa mara nyingine tena usiku huu,...

Marcus Rashford: Shujaa Mpya Old Trafford Aliyevunja Rekodi ya George Best

Marcus Rashford alikuwa shujaa ambaye hakutabiriwa usiku wa Alhamisi dhidi ya FC Midtjylland, akifunga magoli mawili katika mechi yake ya kwanza ya kikosi cha...

DAUDA TV: CHELSEA HOI BIN TAABAN…

Timu ya Chelsea bado imeendelea kuwa katika wakati mgumu kufuatia leo kupoteza tena mchezo wake wa ligi mbele ya Bournemouth ikiwa kwenye uwanja wake...

STORY KUBWA